KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanakufa kijerumani na tai shingoni......wa jF watakuambia ndoa zao ziko poa
ili wengine waingie mkenge/mtegoni
mama jirani, ananambia flani, na wewe oa, ili mkeo kama mama flani iwe ni address yakoWatu wanakufa kijerumani na tai shingoni......
Imagine mkeo anakuambia utumie kikombe.....
Dah!!Dah nimecheka sana.
Watulie kwenye ndoa si waliapa watakwepo nyakati zote za shida na raha
😂😂😂Dah!!
Mtu kashachukua mahari alafu anasema haolewi na mtu nusu........
😂😂😂😂 jinga weemama jirani, ananambia flani, na wewe oa, ili mkeo kama mama flani iwe ni address yako
nasema hihihi, mie ni KATAA NDOA
Hlishirika wangeliita kataa ndoa tu
Dah!!Ndoa ni kikaango. Hujui lini itakuwaje tofauti na ilivyo Sasa. Ni taafrani. Juzi Kati hapa nikawa nimetoka safari kwenye kutoa Nauli ikaonekana pesa yangu ni kubwa na ni usiku nikamwambia wife si pesa ndogo imo kwenye pochi humo (maana nilimuona alivyokuwa anaziweka) akanijibu kwa hasira "Uliweka"?
Kwangu hii imekuwa redflag
Mpaka sasa uwanja umechafuka, kila tukicheki VAR inatokea tu sura ya mwanamke 🤣🤣🤣🤣🤣 kavipi tumpe mwanamke 🏆🥇Evelyn Salt ngapi ngapi huko ubao unasoma 😂😂😂
Apeweeeee 🏆 🤣🤣🤣Mpaka sasa uwanja umechafuka, kila tukicheki VAR inatokea tu sura ya mwanamke 🤣🤣🤣🤣🤣 kavipi tumpe nwanamke 🏆🥇