Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Jun 15, 2024 #21 πππππ Mbona mtu nusu!
kingundya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 2,000 Reaction score 3,352 Jun 15, 2024 #22 KikulachoChako said: Dah!! Ndugu yangu Anza kukaa kimachale machale.......View attachment 3018268 Click to expand... Acha kabisa hawa watu ni hatari hatari wakati wote ni kuwa makoni Ile unaambiwa kaa chonjo ndio kwenye ndoa sasa
KikulachoChako said: Dah!! Ndugu yangu Anza kukaa kimachale machale.......View attachment 3018268 Click to expand... Acha kabisa hawa watu ni hatari hatari wakati wote ni kuwa makoni Ile unaambiwa kaa chonjo ndio kwenye ndoa sasa
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Jun 15, 2024 #23 Dah !!! nimelia sana
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Jun 15, 2024 #24 ephen_ said: Nimemuonea huruma huyo mfupi aliyetoa mahari halafu mchumba akaingia mitini Click to expand... Halafu akaambiwa hawezi kuolewa na "mtu nusu". Sasa sijui ni nusu kwasabb ya ufupi wake? Kwa tabu hizi!!! ephen_ sikuitaji tena. Nenda kamsumbue Lucas Mwashambwa .
ephen_ said: Nimemuonea huruma huyo mfupi aliyetoa mahari halafu mchumba akaingia mitini Click to expand... Halafu akaambiwa hawezi kuolewa na "mtu nusu". Sasa sijui ni nusu kwasabb ya ufupi wake? Kwa tabu hizi!!! ephen_ sikuitaji tena. Nenda kamsumbue Lucas Mwashambwa .
D Deleted01 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2018 Posts 2,800 Reaction score 6,927 Jun 15, 2024 #25 Tukiwaambia kataeni ndoa, hamtaki. Washauri wa mapenzi wenyewe walishapewa taraka.
Nelibaba JF-Expert Member Joined Mar 4, 2023 Posts 290 Reaction score 386 Jun 15, 2024 #26 KikulachoChako said: View attachment 3018078 Click to expand... Kanuni kuu ya ndoa ni mume kumpenda mke wake na mke kumtii mume wake. Kwasasa watu wamevurugwa, wanasema marriage has no formula!!
KikulachoChako said: View attachment 3018078 Click to expand... Kanuni kuu ya ndoa ni mume kumpenda mke wake na mke kumtii mume wake. Kwasasa watu wamevurugwa, wanasema marriage has no formula!!
P Pesanyingi JF-Expert Member Joined Apr 15, 2023 Posts 1,157 Reaction score 1,983 Jun 16, 2024 #27 ephen_ said: Nimemuonea huruma huyo mfupi aliyetoa mahari halafu mchumba akaingia mitini Click to expand... Hawana huruma wanawake
ephen_ said: Nimemuonea huruma huyo mfupi aliyetoa mahari halafu mchumba akaingia mitini Click to expand... Hawana huruma wanawake