McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Shirikisho la Watumishi Makada wa Chama cha Mapinduzi - CCM Halmashauri ya Mji Nanyamba, mkoani Mtwara wamemlipia gharama ya shilingi 500,000 ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge ndani ya chama hicho mbunge anayetetea nafasi yake katika Jimbo hilo Mhe. Abdallah Dadi Chikota.
Akizungumza mara baada ya kuchukuwa fomu hiyo Mwenyekiti wa Shirikisho la Makada Bi. Shakira Mchatta leo Juni 30, 2025 amesema wamefikia uamuzi huo kutokana na kuguswa na utendaji kazi wake katika kutetea maslahi ya wananchi wa jimbo la Nanyamba.