gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Timu ngumu nyingi zipo shirikisho na sio klabu bingwa just imagine shirikisho kuna timu ngumu kama:
Simba
Asec mimosas
Rs berkane
Usm alger(mume wa yanga)
Zamalek
Al masry
Wakati champions league timu ngumu ni mbili tu
Al ahly na esperance wengine wote vibonde tu.
Leo kuna timu zimecheza hapa Tanzania unaweza usiamini kama ni michuano ya klabu bingwa unaweza kudhani ni ndondo cup au mashindano ya kugombania maandazi nimeshindwa hata kuangalia mechi
Kuna mchezaji mmoja ana bleach yule sijui ni mchezaji au dj sijaelewa? Mnaomjua nisaidieni historical background anatokea wapi? Alivyokuwa anacheza kama mchezaji wa malimao fc.