Ndoa iko Tanga!!!!!!!!Wamekaa. Safi sana
Ubwabwa upo wa kutosha. MaanaNdoa iko Tanga!!!!!!!!
OK asanteSimba Kiiza,
Coast Union Yousouf Sabo zote 2
Ni Leo tu mechi zote zilizobaki tunashindaTayari ruba ameingia subirini muanze kupoteza
mshabiki gani hujui kuwa hii ni Azam FA CUP na ilikuwa robo fainali na tumeshatolewa....Ni Leo tu mechi zote zilizobaki tunashinda
Hatuwezi.Ni ujinga wa hali ya juu wanachokifanya Simba.Ndo nimesoma hapa kuhusu mgogoro wa Abbas,kocha kwa mchezaji Kiiza.Hivi hapo mda mfupi kabla ya match unaanzisha migogoro isiyo na kichwa wala miguu kwa mchezaji muhimu? Hawana mawasiliano na viongizi wao...yaani ngoja nisije patwa na BAN hapa.Mwaka huu mimi angalau nimewasifu Yanga..hawadharau match na wanapoweza kupiga hata 5 wanafanya hivyo sio hawa waliopoteza ubingwa miaka nenda rudi.Viongozi waachie ngazi.Kilichobaki sasa ni kukomaa tu na Ligi Kuu hadi kieleweke, hatuwezi kusubiri tena kucheza mechi za Kimataifa. Haya matokeo yamenikera kweli KMYK.
Ova
Yaani mkuu nimekereka to the maximum, afu nahisi wachezaji kama wanataka kumfukuzisha kazi Mayanja. Ila style inayotumika inaumiza team at last.Hatuwezi.Ni ujinga wa hali ya juu wanachokifanya Simba.Ndo nimesoma hapa kuhusu mgogoro wa Abbas,kocha kwa mchezaji Kiiza.Hivi hapo mda mfupi kabla ya match unaanzisha migogoro isiyo na kichwa wala miguu kwa mchezaji muhimu? Hawana mawasiliano na viongizi wao...yaani ngoja nisije patwa na BAN hapa.Mwaka huu mimi angalau nimewasifu Yanga..hawadharau match na wanapoweza kupiga hata 5 wanafanya hivyo sio hawa waliopoteza ubingwa miaka nenda rudi.Viongozi waachie ngazi.
Hatuwezi.Ni ujinga wa hali ya juu wanachokifanya Simba.Ndo nimesoma hapa kuhusu mgogoro wa Abbas,kocha kwa mchezaji Kiiza.Hivi hapo mda mfupi kabla ya match unaanzisha migogoro isiyo na kichwa wala miguu kwa mchezaji muhimu? Hawana mawasiliano na viongizi wao...yaani ngoja nisije patwa na BAN hapa.Mwaka huu mimi angalau nimewasifu Yanga..hawadharau match na wanapoweza kupiga hata 5 wanafanya hivyo sio hawa waliopoteza ubingwa miaka nenda rudi.Viongozi waachie ngazi.
Wanafikiri maneno ya MCHANGANI na MATOPENI yanatufurahisha masikioni mwetu...Azam Ina washabiki mda huu na sio watoto wale,wale wamechoka na figisufigisu za Simba na Yanga kwa kushindwa kila mara match za kimataifa.Azam itakuwa ndo club itakayokuwa inachukua vikombe vyote...time will tell,they have a good management and vision,wana program nzuri za michezo.Club haina mda mrefu ila inamiliki uwanja wa mpira Simba kila leo ni hadithi tu,eti wanasubiri hela za Okwi waanze ujenzi,hivi wana vision hawa,wataifikisha wapi Simba hawa.Hatuwezi kuwa na timu inayopoteza mechi muhimu kwa vibonde kama Coastal Union, kabisa huku ni kutafutiana ban zisizo na msingi. Hatuna viongozi na wala hatuna kocha, wanaendekeza soka la ujanja ujanja na kuuza maneno tu. Kama wameshindwa waondoke watuachie Simba yetu.
Ova
Nilijiweka mbali Na soka kwa wiki hii kidogomshabiki gani hujui kuwa hii ni Azam FA CUP na ilikuwa robo fainali na tumeshatolewa....
mkuu leo ni jumatatu au unasemea wiki iliyopita...Nilijiweka mbali Na soka kwa wiki hii kidogo
Hahahaah najua mkuu ingekuwa wikendi hii mechi ningekuwa wa kwanza kuweka Uzi kuihusu hii mechi.mkuu leo ni jumatatu au unasemea wiki iliyopita...
Ndio hivyo hivyo mkuu, tutampa Kiluvya UNITED nafasi ya FA maana hakuna namna!!Poa sana. Waliniudhi match ya yanga Vs al ahly. Waliwazomea yanga,walishangilia sana timu ya waarabu. Yanga atakuwa bingwa VPL + FA cup. Tutabeba ndoo zote 2. Tutachagua FA tumpe nani!!(sijui kama ndo hivyo)