Shirikisho: Simba SC 1-2 Coastal Union

Shirikisho: Simba SC 1-2 Coastal Union

Kilichobaki sasa ni kukomaa tu na Ligi Kuu hadi kieleweke, hatuwezi kusubiri tena kucheza mechi za Kimataifa. Haya matokeo yamenikera kweli KMYK.

Ova
Hatuwezi.Ni ujinga wa hali ya juu wanachokifanya Simba.Ndo nimesoma hapa kuhusu mgogoro wa Abbas,kocha kwa mchezaji Kiiza.Hivi hapo mda mfupi kabla ya match unaanzisha migogoro isiyo na kichwa wala miguu kwa mchezaji muhimu? Hawana mawasiliano na viongizi wao...yaani ngoja nisije patwa na BAN hapa.Mwaka huu mimi angalau nimewasifu Yanga..hawadharau match na wanapoweza kupiga hata 5 wanafanya hivyo sio hawa waliopoteza ubingwa miaka nenda rudi.Viongozi waachie ngazi.
 
Yaani mkuu nimekereka to the maximum, afu nahisi wachezaji kama wanataka kumfukuzisha kazi Mayanja. Ila style inayotumika inaumiza team at last.
 
Hatuwezi.Ni ujinga wa hali ya juu wanachokifanya Simba.Ndo nimesoma hapa kuhusu mgogoro wa Abbas,kocha kwa mchezaji Kiiza.Hivi hapo mda mfupi kabla ya match unaanzisha migogoro isiyo na kichwa wala miguu kwa mchezaji muhimu? Hawana mawasiliano na viongizi wao...yaani ngoja nisije patwa na BAN hapa.Mwaka huu mimi angalau nimewasifu Yanga..hawadharau match na wanapoweza kupiga hata 5 wanafanya hivyo sio hawa waliopoteza ubingwa miaka nenda rudi.Viongozi waachie ngazi.

Hatuwezi kuwa na timu inayopoteza mechi muhimu kwa vibonde kama Coastal Union, kabisa huku ni kutafutiana ban zisizo na msingi. Hatuna viongozi na wala hatuna kocha, wanaendekeza soka la ujanja ujanja na kuuza maneno tu. Kama wameshindwa waondoke watuachie Simba yetu.

Wanafikiri maneno ya MCHANGANI na MATOPENI yanatufurahisha masikioni mwetu...Azam Ina washabiki mda huu na sio watoto wale,wale wamechoka na figisufigisu za Simba na Yanga kwa kushindwa kila mara match za kimataifa.Azam itakuwa ndo club itakayokuwa inachukua vikombe vyote...time will tell,they have a good management and vision,wana program nzuri za michezo.Club haina mda mrefu ila inamiliki uwanja wa mpira Simba kila leo ni hadithi tu,eti wanasubiri hela za Okwi waanze ujenzi,hivi wana vision hawa,wataifikisha wapi Simba hawa.
Hivi huyu mwenyekiti wa sasa na aliyepita tofauti yao ni nini....
Nimeudhika katika kiwango cha juu sana Simba kufungwa kizembe sana..
 
Koooomaaa nina zenu wamatopeni, mwakani ni mchangani tuuu na kwenye mabonaza na badooo afi mshuke daraja ahaaaa, big up waarabu wa tanga kwa kuangusha mbuyu
 
Team nzima ya simba juzi ilijaa kukesha na kuizomea yanga pale taifa kila mchezaji wa simba alikuwepo isipokua kiiza sikumuona sijui alikua gizani nikafurahi nikijua wamekuja kujifunza soccer safii kumbe ni umbea tu
 
Kumbe malipo ni apa apaa, tuliwaangalia tuuu juzi kati eti wana wa support al ahly kumbe kiamaa chao kinakuja ahaaaa
All in all poleni sana watan kwa kichapoo, huu ni utani wa jadi!
 
Poa sana. Waliniudhi match ya yanga Vs al ahly. Waliwazomea yanga,walishangilia sana timu ya waarabu. Yanga atakuwa bingwa VPL + FA cup. Tutabeba ndoo zote 2. Tutachagua FA tumpe nani!!(sijui kama ndo hivyo)
Ndio hivyo hivyo mkuu, tutampa Kiluvya UNITED nafasi ya FA maana hakuna namna!!
 
Back
Top Bottom