Shirikisho: Simba SC 1-2 Coastal Union

Uliona wapi kanuni ya viporo Duniani? Msiwe mnakariri. VIPORO ni matokeo ya Ratiba ya FIFA kuingiliana na CAF. Pia kuna sababu kama mvua, Snow, nk.
Msiwe mna kariri vitu!! Kama umepangiwa mechi 3 ww ukacheza zote na ukashinda zote kuna shida gani mwenzio mwenye mashindano ya Kimataifa kucheza baadae.
 
uliona wapi time moja INA viporo v3 kama siyo Wenda wazimu...

TATIZO LA SIMBA NI UONGOZI

TATIZO LA SIMBA NI MFUMO WA TIMU KWA UJUMLA WAKE

Tusipopambana kuondokana na huu mfumo...Nothing will ever Change

Timu ibadilike ...iendeshwe kwa mfumo wa kampuni....timu ijiendeshe kibiashara

Pale samba wacezaji wote ni wa kuunga unga...Hakuna washambuliaji pale

Hakuna mabeki.....walau kiungo kuna unafuu

Na hii ni kwa sababu timu haina uwezo wa kusajili quality Players.......

Wanachama wa samba nao wangese tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…