Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,013
Uliona wapi kanuni ya viporo Duniani? Msiwe mnakariri. VIPORO ni matokeo ya Ratiba ya FIFA kuingiliana na CAF. Pia kuna sababu kama mvua, Snow, nk.
Msiwe mna kariri vitu!! Kama umepangiwa mechi 3 ww ukacheza zote na ukashinda zote kuna shida gani mwenzio mwenye mashindano ya Kimataifa kucheza baadae.
Msiwe mna kariri vitu!! Kama umepangiwa mechi 3 ww ukacheza zote na ukashinda zote kuna shida gani mwenzio mwenye mashindano ya Kimataifa kucheza baadae.