Shirikisho: Simba SC 1-2 Coastal Union

Shirikisho: Simba SC 1-2 Coastal Union

Yaani ukiona timu inalalama viporo vya wenzao vi3 tu jua ana kiwango kidogo sn na hajiamini kimpira!!
 
Wanafikiri maneno ya MCHANGANI na MATOPENI yanatufurahisha masikioni mwetu...Azam Ina washabiki mda huu na sio watoto wale,wale wamechoka na figisufigisu za Simba na Yanga kwa kushindwa kila mara match za kimataifa.Azam itakuwa ndo club itakayokuwa inachukua vikombe vyote...time will tell,they have a good management and vision,wana program nzuri za michezo.Club haina mda mrefu ila inamiliki uwanja wa mpira Simba kila leo ni hadithi tu,eti wanasubiri hela za Okwi waanze ujenzi,hivi wana vision hawa,wataifikisha wapi Simba hawa.
Hivi huyu mwenyekiti wa sasa na aliyepita tofauti yao ni nini....
Nimeudhika katika kiwango cha juu sana Simba kufungwa kizembe sana..

Hilo jina la 'Mchangani' linanikera sana kwa sababu hatulijibu kwa vitendo, na Uwezo wa kujibu hivyo tunao ila kuwa wapuuzi tu wanaleta porojo badala ya uwajibikaji.

Ova
 
Poleni watani, naona mwaka mwingine tena wa kucheza ndondo unawangoja.

Hahahahaaaaaaa
 
Wameona hayaaaaaa
Mhhhhh mdomo koma mie!
Tuungane na ndugu zetu hasa katika kipindi hiki kigumu,kwa niaba ya Nifah natuma salamu za pole kwa washabiki wa Simba,muwasamehe wote waliowakejeli
 
Hilo jina la 'Mchangani' linanikera sana kwa sababu hatulijibu kwa vitendo, na Uwezo wa kujibu hivyo tunao ila kuwa wapuuzi tu wanaleta porojo badala ya uwajibikaji.

Ova

Mngejibu kwa vitendo kwa kushinda hivyo basi mnaendelea kuwa wa mchangani.
 
Ubingwa wa vpl yeboyebo aka vyura muusahau..!!!
Duh!sisi yanga tumetoa sare azam wameshinda nyinyi mmefungwa haya mashindano ya kimataifa sijui inakuwaje labda mechi ya marudio huko mnaweza kuwafunga.
 
Matokeo kati ya timu za Tanzania dhidi ya waarabu.
Yanga 1-1 Al- ahly kutoka Misri
Azam 2-1 Esperence kutoka Tunisia
Simba 1-2 Coast Union kutoka Tanga
Duh!huku kusoma mabango haraka haraka maana mimi nilisoma coastal do sol ile ya msumbiji nikajua ni mashindano ya kimataifa kumbe wagosi wa kaya!
 
Duh!sisi yanga tumetoa sare azam wameshinda nyinyi mmefungwa haya mashindano ya kimataifa sijui inakuwaje labda mechi ya marudio huko mnaweza kuwafunga.
Hahahaah marudiano wakati ndio basi tena
 
Back
Top Bottom