Wakijakushtuka wameachiwa magonjwa,wengine vipaji vimeshuka pesa za show walikopeleka hapajulikani basi stress zake hukimbilia kumalizia kwenye cocaine na bangi mwaka wa kwanza wa pili parapanda inalia..nimesoma mahali yule bwana mdogo hamoniz kampeleka bibie kwa wakwe mamaake nae kampokea,najiuliza iko wapi heshima ya mama anayopaswa kupewa na mwanae?(personally,mahusiano yangu kabla sijaoa nilikuwa najitahidi sana mama yangu asijue na hakuwahi hata kuhisi hadi nilipotambulisha mchumba nyumbani)mama nae anaruhusu ujinga huo eti anamkaribisha mkwe amejipaka mirangi rangi kichwani..haihitaji elimu ya darasani kujua kama hawa wanaojiita wapenzi kwa tittle zao hawatokaa waishi maisha yaliyotulia ya ndoa ila mama kijana anashiriki,what a shame.