Shishi Baby amlia mingo Raymond wa WCB, Wanyonyana ndimi nje nje

Shishi Baby amlia mingo Raymond wa WCB, Wanyonyana ndimi nje nje

Mtoa mada acha uwongo na kupotosha watu?? au nawewe ndo unazidi kumtafutia kiki dogo??
Iyo video clip ambayo walikuwa wanaimba,naona wewe umeamua kuscreen shot halafu uje na ubuyu wako humu
Ebo kumbe basi tuwekee hiyo video clip Na sisi tuione
 
Alafu kwenye ule mchoro wenye kina Aunty Ezekieli na wengine, wamemsahau Shishi....walau wangemchora amevaa boxing gloves alafu Nuhu anatoka nduki, anafoka "unaenda wapi...kuja hapa" alafu Nuhu anajibu "nimechoka na wewe jike shupa"
 
Kweli wahenga walikua wanatudanganya eti "wakubwa wanafaidi" mbona siku hizi watoto ndo wanafaidi vya wakubwa.
 
Mapenzi ya Mwendo kasi! Ila Zuwena anamtoto wa about 20 years Igunga huko, cjui kwann hajiheshim manake soon ataitwa BIBI.
 
mweee vitoto vyenyewe hata ukuni bado hautoshi kwenye condom Kwa udogo , hapo wanapiga peku tu
 
Kwahiyo ni heri uambulie magonjwa kuliko akuone shoga? Sasa akikuona shoga kwani wewe ni kweli shoga. Acheni hizi kama haumpendi achana nae.....kama atakuona shoga ni tatizo lake na si lako.
Alahaaaa!!
 
Mtoa mada acha uwongo na kupotosha watu?? au nawewe ndo unazidi kumtafutia kiki dogo??
Iyo video clip ambayo walikuwa wanaimba,naona wewe umeamua kuscreen shot halafu uje na ubuyu wako humu
Mkuu we umeona wakiimba nami nimeona wakiimba na kubadilishana milenda, tatizo liko wapi sasa!!

Hizo picha nilizoweka hata kipofu anaona wanakula denda sasa sijui unatetea upuuzi gani!!
 
Ukiona mwanaume anaakaa anajadili mahusiano ya kimapenzi ya mwanaume mwenzake ambaye pia ni rijali ma anazaidi ya miaka 18 basi muangalie huyo mwanaume kwa jicho la tatu...
Acha ujinda weye, hakuna aliyemjadili mwanaume ila uhusiano na kumbuka hawa ni kioo cha jamii.
 
Enyi kizazi cha nyoka ni nani aliyewaroga?
 
Acha vijana wale ujana wao.......!!!!!!!!!!
 
Mtoto wa mwenzio ni wako jamani.. Lakini hivi vibibi vimelapuliwa kweli lakini bado vinawabemenda na hawa watoto
 
BASATA waingilie kati, hii haikubali washkaji wanabemendwa wazizi!
 
Back
Top Bottom