Ebo kumbe basi tuwekee hiyo video clip Na sisi tuioneMtoa mada acha uwongo na kupotosha watu?? au nawewe ndo unazidi kumtafutia kiki dogo??
Iyo video clip ambayo walikuwa wanaimba,naona wewe umeamua kuscreen shot halafu uje na ubuyu wako humu
Alahaaaa!!Kwahiyo ni heri uambulie magonjwa kuliko akuone shoga? Sasa akikuona shoga kwani wewe ni kweli shoga. Acheni hizi kama haumpendi achana nae.....kama atakuona shoga ni tatizo lake na si lako.
Mkuu we umeona wakiimba nami nimeona wakiimba na kubadilishana milenda, tatizo liko wapi sasa!!Mtoa mada acha uwongo na kupotosha watu?? au nawewe ndo unazidi kumtafutia kiki dogo??
Iyo video clip ambayo walikuwa wanaimba,naona wewe umeamua kuscreen shot halafu uje na ubuyu wako humu
Acha ujinda weye, hakuna aliyemjadili mwanaume ila uhusiano na kumbuka hawa ni kioo cha jamii.Ukiona mwanaume anaakaa anajadili mahusiano ya kimapenzi ya mwanaume mwenzake ambaye pia ni rijali ma anazaidi ya miaka 18 basi muangalie huyo mwanaume kwa jicho la tatu...
Halafu wanavidatisha na mambo ya kihansi [emoji26] [emoji12] [emoji39] [emoji85]Hawa mabibi wanavibemenda hivi vitoto aiseeee.
Waviache
ha ha ha eti mambo ya kihansi.Halafu wanavidatisha na mambo ya kihansi [emoji26] [emoji12] [emoji39] [emoji85]
Kwahiyo kama ni kioo cha jamii haruhusiwi kuwa na uhusiano na mwanamke aliyemzidi umri?Acha ujinda weye, hakuna aliyemjadili mwanaume ila uhusiano na kumbuka hawa ni kioo cha jamii.