Mkuu ina maana anauza naniliuu?Hivi haya manywele yenye rangi kama mafagio wanayependea nini..hayawapendez wanatoka kama mizuka iliyofufuka kaburini...chefuuu!
Mie sielewi kwa kweli..atajua yeye na Mungu wake!!!Mkuu ina maana anauza naniliuu?
shishi ana mambo ambayo ni mfano wa kuigwaYani wewe uko kama mimi nampenda huyu dada kwa mambo kadhaa.Kwanza hamtegemei mwanaume ili kupata pesa japo analizimisha mziki hadi watu wameanza kumuelewa,pili haogopi kujaribu ndo mana kafika hapo alipo.
Tofauti na sisi wadada tunaojiita wasomi wakati hatuna guts za kufanya mambo afu bado tunadanga pesa kwa wanaume.
The rest namuachia mwenyewe.
hahahahahaTunashukuru hakupelekewa mic aongee maana ambayo angeyavurumusha anayaelewa mwenyewe.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] huwa hapendi kubaki nyuma nyumaTunashukuru hakupelekewa mic aongee maana ambayo angeyavurumusha anayaelewa mwenyewe.