Shishi baby atikisa ndani ya MTV Mama 2016

Shishi baby atikisa ndani ya MTV Mama 2016

Hivi haya manywele yenye rangi kama mafagio wanayependea nini..hayawapendez wanatoka kama mizuka iliyofufuka kaburini...chefuuu!
 
Yani wewe uko kama mimi nampenda huyu dada kwa mambo kadhaa.Kwanza hamtegemei mwanaume ili kupata pesa japo analizimisha mziki hadi watu wameanza kumuelewa,pili haogopi kujaribu ndo mana kafika hapo alipo.
Tofauti na sisi wadada tunaojiita wasomi wakati hatuna guts za kufanya mambo afu bado tunadanga pesa kwa wanaume.
The rest namuachia mwenyewe.
shishi ana mambo ambayo ni mfano wa kuigwa
.
kwanza hataki tamaa
hachoki kujaribu
muwazi kama hajui kitu
independent woman [emoji7][emoji7][emoji7]
 
MTV 'Adrica' nani walikuwa nominated,mbona hatukuwa na habari!!!!
 
Back
Top Bottom