kila followers kwa mtu ana sababu zake ziwe negative au positive yaani kuna wengine wanaweza kufollow mtu kutokana na vituko vyake na wengine wakamflollow mtu kutokana na muziki wakeUna maanisha nini hapa?
mkuu mwanaJF kama wewe ukileta uzi, kazi yetu wengine ni kuunogesha, au unahisi nimekupinga?Kwani mimi kwenye thread hii nimesemaje?
Hiyo ya kufuatilia siyo kazi yangu. Labda ungenisaidia. Ila kwa mjibu wa Insta. Shishi baby ndiye msanii pekee wa kike kwa sasa Tanzania mwenye followers wengi Duniani.Fatilia pia wanao'mfollow huyo mashishi bebi tabia zao na shishi zinaendana ni watu wa kazi!
Sioni cha kushangaza hapo,watanzania wengi wanapenda kufuatilia vitu ambavyo havina manufaa kwao sanasana udaku.cheki mfano mdogo tu magazeti yepi yanasomwa sana,w/ke wanapenda ya udaku na w/ume wengi ni ya michezo..Unaweza ukawa na wafuasi wengi kutokana na vituko vyao pia na haimaanishi kwamba unapendwa
Lakini haiondoi ukweli kwamba Shishi Baby ndiye msanii kwa sasa hapa bongo wa kike mwenye washabiki wengi duniani.mkuu mwanaJF kama wewe ukileta uzi, kazi yetu wengine ni kuunogesha, au unahisi nimekupinga?
Insta ni dunia nzima siyo bongo tu. Shishi Baby anamzidi mpaka Yemi Alade. Huoni anajituma kufurahisha washabiki wake? Hebu jaribu wewe kufanya kitu cha ovyo kama utapata wafuasi hata 40000.Sioni cha kushangaza hapo,watanzania wengi wanapenda kufuatilia vitu ambavyo havina manufaa kwao sanasana udaku.cheki mfano mdogo tu magazeti yepi yanasomwa sana,w/ke wanapenda ya udaku na w/ume wengi ni ya michezo..
Maskini!! Kwa hiyo ukiwa na followers wengi nayo sifa!!?Nimekuja kugundua Shilole ni msanii wa kike mwenye wafuasi wengi TZ. Vanessa haoni ndani kwa Shishi.Niliposikia mvurugano wao ikabidi nifuatilie nikagundua Shishi anawafuasi wengi ndani ya Insta.
Japo kuwa Vanessa anapiga kimataifa lakini tukija kuangalia followers Shishi yupo na wengi
Shishi: 1,539,889 Vanessa: 1,524,374
Kwa upande wa Followers Shishi anakimbiza.