souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,098
Sawa mtafiti wa shishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikweli kabisa huyu bint anawafuas weng sana inst kuliko msanii yeyote wa kike Afrka na inamwongezea thaman yake naona hata kampun ya Kondom imempa tenda ya kutangaza zile Dull condoms
watu wengine bana daah,...anyway akili ni nywele...Nimekuja kugundua Shilole ni msanii wa muziki wa kike mwenye wafuasi wengi TZ. Vanessa haoni ndani kwa Shishi.Niliposikia mvurugano wao ikabidi nifuatilie nikagundua Shishi anawafuasi wengi ndani ya Insta.
Japo kuwa Vanessa anapiga kimataifa lakini tukija kuangalia followers Shishi yupo na wengi
Shishi: 1,539,889 Vanessa: 1,524,374
Kwa upande wa Followers Shishi anakimbiza.
Fuata nyuki ule asali Instagram no mtandao wa kijinga Sana yani MTU akiwa anapost picha za ajabu ajabu (utupu)anapata follower's kwa mda mchache Sana kuliko hata vitu vya maana hiyo ndo insta ilivyoNimekuja kugundua Shilole ni msanii wa muziki wa kike mwenye wafuasi wengi TZ. Vanessa haoni ndani kwa Shishi.Niliposikia mvurugano wao ikabidi nifuatilie nikagundua Shishi anawafuasi wengi ndani ya Insta.
Japo kuwa Vanessa anapiga kimataifa lakini tukija kuangalia followers Shishi yupo na wengi
Shishi: 1,539,889 Vanessa: 1,524,374
Kwa upande wa Followers Shishi anakimbiza.
Swadakta mfano bongo five au page za clouds zina follower's wachache kuliko za udaku #hii maana yke nnUnaweza ukawa na wafuasi wengi kutokana na vituko vyao pia na haimaanishi kwamba unapendwa
nahitaji kuuliza, ni vigezo gani wanaangalia, una aply au wao ndio eanakufuatilia? coz mtu kama D.Trump siku ya kwanza anaingia(alichelewa aliingia kwa ajili ya kampeni) alikuwa verified hapo hapo, ila wengine wanakula msoto, ni vigezo gani vinatumika? kuna wasanii wamefikia hatua ya kimataifa kama Ally but hawana na wanafollowers wengi.Kile kitiki (verified acc) ni kwa watu/kampuni/shirika maarufu/muhimu ktk jamii,na chenyewe hakijalishi wingi wa followers ulionao,angalia accounti za Idrissa,Ommy Dimpoz na V.money ( hawa ni verified acc, simtaji DIAMOND maana yeye alikipata tangu alipokuwa na followers 1m.) halafu kaangalie kwa hawa hapa,Wema,Zari,Joketi,Shishi, Wolper,Kiba,Aunti ezekiel na Lulu n.k ( hawa wote wanafollowers kibao lakini bado acc zao haziko verified)
Wanaangalia nafasi yako ktk jamii,je ni maarufu/muhimu ............ ila kwa kwetu Africa umaarufu au umuhimu wako ktk jamii uwe zaidi ya kwenye nchi yako. ( haitoshi kuwa maarufu kwenu tu,ila ikiwezekana ujulikane na karibia Africa nzima.)nahitaji kuuliza, ni vigezo gani wanaangalia, una aply au wao ndio eanakufuatilia? coz mtu kama D.Trump siku ya kwanza anaingia(alichelewa aliingia kwa ajili ya kampeni) alikuwa verified hapo hapo, ila wengine wanakula msoto, ni vigezo gani vinatumika? kuna wasanii wamefikia hatua ya kimataifa kama Ally but hawana na wanafollowers wengi.
Nisamehe ndg yangu sikufahamu kabisa kama ni sifa. SorryHuji kuwa na followers wengi ni sifa?
Chama chetu cha Azimio la Arusha kinaendeleaje?Shishi upo juu