Shishi Baby: Msanii wa muziki wa kike mwenye wafuasi wengi Instagram TZ

Nikweli kabisa huyu bint anawafuas weng sana inst kuliko msanii yeyote wa kike Afrka na inamwongezea thaman yake naona hata kampun ya Kondom imempa tenda ya kutangaza zile Dull condoms
 
Kumbe anawafuasi wengi kuliko wanamziki wakike wote Africa!???
 
Nikweli kabisa huyu bint anawafuas weng sana inst kuliko msanii yeyote wa kike Afrka na inamwongezea thaman yake naona hata kampun ya Kondom imempa tenda ya kutangaza zile Dull condoms

Hahahahaha na ubalozi anautendea haki kwelikweli..

Ila rekebisha hapo kwenye kuongoza Afrika, amezidiwa na Zari naye ni mwanamuziki sema amestaafu tena mwenye tuzo ya channel o kabatini..
 
watu wengine bana daah,...anyway akili ni nywele...
 
Fuata nyuki ule asali Instagram no mtandao wa kijinga Sana yani MTU akiwa anapost picha za ajabu ajabu (utupu)anapata follower's kwa mda mchache Sana kuliko hata vitu vya maana hiyo ndo insta ilivyo
 
Unaweza ukawa na wafuasi wengi kutokana na vituko vyao pia na haimaanishi kwamba unapendwa
Swadakta mfano bongo five au page za clouds zina follower's wachache kuliko za udaku #hii maana yke nn
 
Annael kakomaa na shishi kiuno balaa.......hyo backup lazima shilole wa mziwanda akurushe kwenye Say my name remix
 
Haina maana yoyote..watu wanapenda drama huko wanazipata,followers siyo kitu cha kumpongeza mtu,wasanii wakubwa duniani tena wenye nguvu na ushawishi mkubwa lakini hawana drama wana followers wachache tu excluding queen B,mfano,Neyo,ana 1.5but it doesn't mean hapendwi,same applies kwa Hakeem,Lupita,Omarion,Pdidy n.k wanazidiwa followers na Kylie Jenner au Kim K,does it means Kardashians ni bora kuliko niliowataja?
 
nahitaji kuuliza, ni vigezo gani wanaangalia, una aply au wao ndio eanakufuatilia? coz mtu kama D.Trump siku ya kwanza anaingia(alichelewa aliingia kwa ajili ya kampeni) alikuwa verified hapo hapo, ila wengine wanakula msoto, ni vigezo gani vinatumika? kuna wasanii wamefikia hatua ya kimataifa kama Ally but hawana na wanafollowers wengi.
 
mtoa mada kuwa na wafuasi wengi insta kuna uhusiano gani na kuwa mwanamziki mzuri..?? kuna mashoga wana wafuasi wengi insta zaid hata ya macelebrity so it means na hao wanamake hela zaidi au..?u
 
Kwa ile minenguo yake kwa steji, hawezi kukosa 'wautamanio mwili wake milioni moja na nusu'...
 
Wanaangalia nafasi yako ktk jamii,je ni maarufu/muhimu ............ ila kwa kwetu Africa umaarufu au umuhimu wako ktk jamii uwe zaidi ya kwenye nchi yako. ( haitoshi kuwa maarufu kwenu tu,ila ikiwezekana ujulikane na karibia Africa nzima.)
 
Instagram ni majanga, nimejiunga huko sijaweka picha wala sijaposti chochote lakini nashangaa kuna watu wanataka kunifollow dah na natumia jina feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…