Shitukeni SUA hawauzi miche ya matunda ni wahuni wanatumia jina la SUA

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa wanao itwa SUA miche imefika haifai hata kuitwa imezalishw na mtu wa mimea.

Sasa wengi hawajui kwamba wale wahuni hawajulikani na SUA na wanatumia jina la SUA kufanya utapeli na wengi kama mimi tumeisha lizwa sana na hawa wahuni wanao jiita wako SUA na wanauza miche kumbe sio sua.

Sasa wengi wetu tukisikia SUA tunatetemeka na kujua kwamba tunaenda kuletewa products kutoka kwa wasomi wakuu wa mimea kumbe ni wahuni wa kitaa.Tuwe makini sana.
 
Ukimfuga mhuni nawe ni mhuni, kwanini miaka yote wanatumia jina lake naye anasikia halafu anakaa kimya?
 
Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa wanao itwa SUA miche imefika haifai hata kuitwa imezalishw na mtu wa mimea.

Sasa wengi hawajui kwamba wale wahuni hawajulikani na SUA na wanatumia jina la SUA kufanya utapeli na wengi kama mimi tumeisha lizwa sana na hawa wahuni wanao jiita wako SUA na wanauza miche kumbe sio sua.

Sasa wengi wetu tukisikia SUA tunatetemeka na kujua kwamba tunaenda kuletewa products kutoka kwa wasomi wakuu wa mimea kumbe ni wahuni wa kitaa.Tuwe makini sana.
Miche Haifai kivip hebu tueleze ili turned huo utapeli wao,
 
Mkuuu. Hebu ifike mahala muanze ku appreciate kazi na ubunifu wa watanzania wenzenu. Angeuza mzungu mchina au mwarabu usingeleta daught.
Kama SUA wameshindwa kazi yao walioaminiwa kwa nini usiwapongeze watu wanaowasaidia kufanya kazi yao hao SUA.
Nimewahi andika humu kuwa SUA ni taasisi isio na faida kwa nchii. Mimi ni mkulima wa miti. Viazi mviringo na matunda. Sioni wala sitambui mchango wa SUA na products zao(extension officer), hawana msaada wowote kwa wakulima.
Ninaishi vijijini, kama kuna mtu yupo au kijiji kimenufaika na uwepo wa SUA wajitikeze. SUA kazi yao kubwa ni kijitetea tu, hawanaga jipya.
Mimi nawapongeza vijana walioamua kuwasaidia watanzania.
Ukienda Njombe,Mbeya,Iringa watu waliosaidai sekta ya Avocado ni hao vijana unaowapiga vita.
Ingefaa sana hao SUA kuwasapoti hso vijana si kuwapiga vita. SUA hawawezi kuzalisha miche Tanzania nzima hawawezi, lazima watrain vijjana maana products zao hawana ubunifu wowote huku mtaani wanadai hela za sindano tu.
SUA lazima ijitasmini .
 
  • Thanks
Reactions: BRB

Ukienda aNjombe,Mbeya,Itinga watu waliosaidai sekta ya Avocado ni hao vijana unaowapiga vita.
Ingefaa sana hao SUA kuwasapoti hwo vijana si kuwapiga vita. SUA gawawezi kulisha miche Tanzania nzima hawawezi, lazima watrain vijjana maana p6oducts zao hawana ubunifu wowote huku mtaani wanadai hela za sindano tu.
SUA lazima ijitasmini .
Ni utapeli
 
Sio kazi ya SUA kuuza miche hio sio jukumu lao kabisa, rudi kasome objective zao.
 
Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa wanao itwa SUA miche imefika haifai hata kuitwa imezalishw na mtu wa mimea.

Sasa wengi hawajui kwamba wale wahuni hawajulikani na SUA na wanatumia jina la SUA kufanya utapeli na wengi kama mimi tumeisha lizwa sana na hawa wahuni wanao jiita wako SUA na wanauza miche kumbe sio sua.

Sasa wengi wetu tukisikia SUA tunatetemeka na kujua kwamba tunaenda kuletewa products kutoka kwa wasomi wakuu wa mimea kumbe ni wahuni wa kitaa.Tuwe makini sana.
SUA Horticulture unit Wana kitengo Cha mafunzo ya vitendo, walioko kule Wana access ya mbegu na miche Bora iliyo kwenye utafiti, kanunue huko utapata kitu Bora hutajuta.
 
Mkuuu. Hebu ifike mahala muanze ku appreciate kazi na ubunifu wa watanzania wenzenu. Angeuza mzungu mchina au mwarabu usingeleta daught.
Kama SUA wameshindwa kazi yao walioaminiwa kwa nini usiwapongeze watu wanaowasaidia kufanya kazi yao hao SUA.
Nimewahi andika humu kuwa SUA ni taasisi isio na faida kwa nchii. Mimi ni mkulima wa miti. Viazi mviringo na matunda. Sioni wala sitambui mchango wa SUA na products zao(extension officer), hawana msaada wowote kwa wakulima.
Ninaishi vijijini, kama kuna mtu yupo au kijiji kimenufaika na uwepo wa SUA wajitikeze. SUA kazi yao kubwa ni kijitetea tu, hawanaga jipya.
Mimi nawapongeza vijana walioamua kuwasaidia watanzania.
Ukienda aNjombe,Mbeya,Itinga watu waliosaidai sekta ya Avocado ni hao vijana unaowapiga vita.
Ingefaa sana hao SUA kuwasapoti hwo vijana si kuwapiga vita. SUA gawawezi kulisha miche Tanzania nzima hawawezi, lazima watrain vijjana maana p6oducts zao hawana ubunifu wowote huku mtaani wanadai hela za sindano tu.
SUA lazima ijitasmini .

Ikiwa mtu / watu wanafanya biashara ya kuuza miche ya miti kwa kutumia jina la SUA (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo) na ikiwa hakuna uhusiano na chuo hicho wala bidhaa si zao la chuo, kuna hatari kubwa kisheria kutokana na matumizi ya jina la chuo bila idhini. Hii ni kwa sababu jina la SUA ni alama ya biashara inayomilikiwa na chuo hicho, na inatambulika rasmi kama sehemu ya nembo yake. Hapa ni maelezo ya madhara na hatua zinazoweza kuchukuliwa

1. Kuvunja Alama ya Biashara (Trademark):

Jina la SUA ni alama ya biashara na lina haki miliki ya kisheria, hivyo mtu anapoitumia bila idhini, anavunja sheria za alama ya biashara.

Madhara:

Taasisi inaweza kuchukua hatua kisheria: Chuo Kikuu cha SUA kinaweza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mtu huyo kwa kutumia jina lao kwa njia isiyoidhinishwa. Hii inaweza kuwa kwa kumtaka aache kutumia jina hilo na kumlipa fidia ikiwa kuna uharibifu wa sifa au faida.

2. Uharibifu wa Chapa (Brand Defamation):

Matumizi ya jina la SUA bila idhini, hasa kama bidhaa au huduma zinazotolewa zinakuwa na ubora usiofaa au hawafiki viwango vya chuo, kuna hatari ya kuharibu sifa ya SUA.

Madhara:

Chuo kinaweza kudai kuwa matumizi ya jina lao yameathiri sifa yao kwa kutoa picha isiyo sahihi kwa umma kuhusu bidhaa au huduma wanazozalisha.

3. Matumizi kwa Faida (Commercial Use):

Kama mtu anatumia jina la SUA kama njia ya kuongeza mauzo au kuhalalisha bidhaa zake, hii ni matumizi ya kibiashara. Hata kama sio kwa manufaa makubwa, bado ni ukiukaji wa haki za alama ya biashara.

Madhara:

Kampuni inaweza kudai kuwa mtu huyo anapata faida kwa kutumia jina lao bila idhini, jambo ambalo linaweza kuchukuliwa kama ukwepaji wa sheria.

4. Hatari ya Kuchukuliwa Kisheria:

Kufungiwa biashara: Ikiwa mtu anaendelea kutumia jina la SUA bila idhini, anaweza kufungiwa na mamlaka husika au kupata adhabu za kisheria.

Faini au fidia: Chuo kinaweza kudai fidia kwa uharibifu wowote uliojitokeza kutokana na matumizi haya yasiyoidhinishwa.

5. Hatua Zinazoweza Kuchukuliwa na SUA:

Barua ya kuacha matumizi (Cease and desist letter): Hii ni hatua ya kwanza ambapo chuo kinamwambia mtu aache kutumia jina lao mara moja.

Kesi ya kisheria: Ikiwa mtu ataendelea, SUA inaweza kufungua kesi ya kisheria kwa kutetea haki zao za alama ya biashara.

6. Hatua za Mtu Anayetumia Jina la SUA:

Acha kutumia jina hilo: Hii ni hatua ya kwanza ili kuepuka matatizo ya kisheria.

Rekebisha jina la biashara: Ikiwa anataka kuendelea kuuza miche ya miti, basi anapaswa kutumia jina tofauti ambalo halina uhusiano na alama ya biashara ya SUA.

Kujitahidi kutafuta idhini: Ikiwa kuna ushawishi wa kweli kwa jina la SUA, mtu huyo anaweza kuwasiliana na chuo hicho ili kuomba idhini rasmi.

🌎Chatgpt
 
Sawa mkuu. Sasa SUA kwa nini wasizalishe miche kwa wingi ku meet demand ya jamii?
Matapeli wametumia loop hole ya udhaifu wa SUA. HiVyo, SUA wazalishe miche mingi ili matapeli wakose soko. Kama wewe ni mdau wa SUA waambie watu wanataka miche.
SUA mkubali tu kuwa kuna makosa mnafanya.
SUA kazi yenu ni kutoa elimu kwa vijana sio kuwafunga vijana, mkithubutu kuwapeleka hao vijana jela mtaiona nguvu ya umma na hata viongozi hawata ruhusu hilo sababu nyie ndio wenye mskosa. Mnalipwa mishahara kwa kodi zetu ila hamuisaidii jamii.
 
Sio kazi ya SUA kuuza miche hio sio jukumu lao kabisa, rudi kasome objective zao.
Sijaandika ni kazi yao. Ila wao ndio tegemeo la ubunifu wa hizo mbegu na kusambaza teknoloia. Sasa SUA imeshindwa nini ku train vijana wa morogo ili waweze kuzalisha miche bora
Lalamiko kama hili lina ashiria jinsi SUA haina msaada kwa vijana wa MORO. Vijana wa moro walitakiwa wawe wakwanza kunufaika na uwepo wa SUA.
 
hii inaweza ikawa changsmoto kwa hao wanaotumia jina la SUA, lakini pla ni fursa kwa ISUA kwa inaweza inawapasisha wauza miche kila mwaka huku wakilipa ada kiasi kadhaa

h
 
Ikiwa mtu / watu wanafanya biashara ya kuuza miche ya miti kwa kutumia jina la SUA (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo) na ikiwa hakuna uhusiano na chuo hicho wala bidhaa si zao la chuo, kuna hatari kubwa kisheria kutokana na matumizi ya jina la chuo bila idhini. Hii ni kwa sababu jina la SUA ni alama ya biashara inayomilikiwa na chuo hicho, na inatambulika rasmi kama sehemu ya nembo yake. Hapa ni maelezo ya madhara na hatua zinazoweza kuchukuliwa

1. Kuvunja Alama ya Biashara (Trademark):

Jina la SUA ni alama ya biashara na lina haki miliki ya kisheria, hivyo mtu anapoitumia bila idhini, anavunja sheria za alama ya biashara.

Madhara:

Taasisi inaweza kuchukua hatua kisheria: Chuo Kikuu cha SUA kinaweza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mtu huyo kwa kutumia jina lao kwa njia isiyoidhinishwa. Hii inaweza kuwa kwa kumtaka aache kutumia jina hilo na kumlipa fidia ikiwa kuna uharibifu wa sifa au faida.

2. Uharibifu wa Chapa (Brand Defamation):

Matumizi ya jina la SUA bila idhini, hasa kama bidhaa au huduma zinazotolewa zinakuwa na ubora usiofaa au hawafiki viwango vya chuo, kuna hatari ya kuharibu sifa ya SUA.

Madhara:

Chuo kinaweza kudai kuwa matumizi ya jina lao yameathiri sifa yao kwa kutoa picha isiyo sahihi kwa umma kuhusu bidhaa au huduma wanazozalisha.

3. Matumizi kwa Faida (Commercial Use):

Kama mtu anatumia jina la SUA kama njia ya kuongeza mauzo au kuhalalisha bidhaa zake, hii ni matumizi ya kibiashara. Hata kama sio kwa manufaa makubwa, bado ni ukiukaji wa haki za alama ya biashara.

Madhara:

Kampuni inaweza kudai kuwa mtu huyo anapata faida kwa kutumia jina lao bila idhini, jambo ambalo linaweza kuchukuliwa kama ukwepaji wa sheria.

4. Hatari ya Kuchukuliwa Kisheria:

Kufungiwa biashara: Ikiwa mtu anaendelea kutumia jina la SUA bila idhini, anaweza kufungiwa na mamlaka husika au kupata adhabu za kisheria.

Faini au fidia: Chuo kinaweza kudai fidia kwa uharibifu wowote uliojitokeza kutokana na matumizi haya yasiyoidhinishwa.

5. Hatua Zinazoweza Kuchukuliwa na SUA:

Barua ya kuacha matumizi (Cease and desist letter): Hii ni hatua ya kwanza ambapo chuo kinamwambia mtu aache kutumia jina lao mara moja.

Kesi ya kisheria: Ikiwa mtu ataendelea, SUA inaweza kufungua kesi ya kisheria kwa kutetea haki zao za alama ya biashara.

6. Hatua za Mtu Anayetumia Jina la SUA:

Acha kutumia jina hilo: Hii ni hatua ya kwanza ili kuepuka matatizo ya kisheria.

Rekebisha jina la biashara: Ikiwa anataka kuendelea kuuza miche ya miti, basi anapaswa kutumia jina tofauti ambalo halina uhusiano na alama ya biashara ya SUA.

Kujitahidi kutafuta idhini: Ikiwa kuna ushawishi wa kweli kwa jina la SUA, mtu huyo anaweza kuwasiliana na chuo hicho ili kuomba idhini rasmi.

🌎Chatgpt
Ile mitaa jirani na chuo inajulikana kama SUA pia. Usikimbilie conclusion; hao "wahuni" are very smart. Also, SUA is not a copyrighted identity; anybody can use it.
 
Mkuuu. Hebu ifike mahala muanze ku appreciate kazi na ubunifu wa watanzania wenzenu. Angeuza mzungu mchina au mwarabu usingeleta daught.
Kama SUA wameshindwa kazi yao walioaminiwa kwa nini usiwapongeze watu wanaowasaidia kufanya kazi yao hao SUA.
Nimewahi andika humu kuwa SUA ni taasisi isio na faida kwa nchii. Mimi ni mkulima wa miti. Viazi mviringo na matunda. Sioni wala sitambui mchango wa SUA na products zao(extension officer), hawana msaada wowote kwa wakulima.
Ninaishi vijijini, kama kuna mtu yupo au kijiji kimenufaika na uwepo wa SUA wajitikeze. SUA kazi yao kubwa ni kijitetea tu, hawanaga jipya.
Mimi nawapongeza vijana walioamua kuwasaidia watanzania.
Ukienda Njombe,Mbeya,Iringa watu waliosaidai sekta ya Avocado ni hao vijana unaowapiga vita.
Ingefaa sana hao SUA kuwasapoti hso vijana si kuwapiga vita. SUA hawawezi kuzalisha miche Tanzania nzima hawawezi, lazima watrain vijjana maana products zao hawana ubunifu wowote huku mtaani wanadai hela za sindano tu.
SUA lazima ijitasmini .
Jambo ambalo angetueleza ni ikiwa hiyo miti haitowi matokeo sahihi, Lakini hoja ya kuwa miche ilifika haifai hilo halihusiani na mzalishaji bali msafirishaji. Mimi niliagiza hiyo hiyo miche baada ya kuipanda mwaka wa kwanza tu mwembe ulitoa mbegu bila kuzaa, mwaka wa pili ukazaa maembe na mpaka sasa unazaa. hivo ikiwa ulitoka ama haukutoka SUA hoja inakuwa imekufa
 
Mkuuu. Hebu ifike mahala muanze ku appreciate kazi na ubunifu wa watanzania wenzenu. Angeuza mzungu mchina au mwarabu usingeleta daught.
Kama SUA wameshindwa kazi yao walioaminiwa kwa nini usiwapongeze watu wanaowasaidia kufanya kazi yao hao SUA.
Nimewahi andika humu kuwa SUA ni taasisi isio na faida kwa nchii. Mimi ni mkulima wa miti. Viazi mviringo na matunda. Sioni wala sitambui mchango wa SUA na products zao(extension officer), hawana msaada wowote kwa wakulima.
Ninaishi vijijini, kama kuna mtu yupo au kijiji kimenufaika na uwepo wa SUA wajitikeze. SUA kazi yao kubwa ni kijitetea tu, hawanaga jipya.
Mimi nawapongeza vijana walioamua kuwasaidia watanzania.
Ukienda Njombe,Mbeya,Iringa watu waliosaidai sekta ya Avocado ni hao vijana unaowapiga vita.
Ingefaa sana hao SUA kuwasapoti hso vijana si kuwapiga vita. SUA hawawezi kuzalisha miche Tanzania nzima hawawezi, lazima watrain vijjana maana products zao hawana ubunifu wowote huku mtaani wanadai hela za sindano tu.
SUA lazima ijitasmini .
Mkuu unataka usaidiwe bure? Tumia hela kutafuta mtaalamu wewe hutaki kutumia hela unataka wataalamu wa bure
 
Back
Top Bottom