..Tatizo ni kubwa kuliko alivyolizungumzia Prof.Shivji. Na lina historia ndefu.
..Tangu tupate UHURU Watanganyika / Watanzania tumekuwa tunafundishwa UCHAWA.
..mambo ya msingi yanayolisibu taifa letu yamekuwa yakijadiliwa kama mjadala wa Simba vs Yanga.
..kwa muda mrefu watawala wamekuwa na magenge yao ya kuchafua na kudhalilisha wote waliokuwa na mawazo mbadala.
..Katika Tanganyika na Tanzania yetu hakuna ambaye alitofautiana na watawala akaachwa bila kutukanwa, kudhalilishwa, na hata kuumizwa.
..Namshangaa Prof.Shivji anashangazwa na hapa tulipofika kama jamii na taifa.
1. Sioni ukweli wowote kwenye andiko lako hili.
2. Anayetaka au kufundisha uchawa hawezi kuwa na kauli hizi:
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa" -- JKN.
3. Si Nyerere wala waliofuata walitaka uchawa hadi awamu ya 5 ilipotimba madarakani kishamba kishamba.
4. Hapo #3, Nyerere hakutaka uchawa kwa maneno na kwa vitendo na huo ndiyo msingi uliokuwapo hadi 2015.
5. Si kweli kuwa hakuna aliyetofautiana na watawala akabaki salama vinginevyo tusingepata mfumo wa vyama vingi 1990s; kina Shivji, Chachage, na wengi UDSM pale wasingekuwa hai.
6. Kina Warioba, Maalim Seif, Jumbe, Mapalala, Kasanga tumbo, nk historia yao baada ya awamu ya kwanza isingekuwapo nk.
7. Ningeshangaa kama wewe,
Allen Kilewella,
MzalendoHalisi, @lucas_mwashambwa,
Retired,
denoo JG au wale chawa wengine wasingemshangaa Shivji!
8. Hapo #7, zingatia nyani haoni kund*le halafu kuwa ni kawaida chawa kutojua yeye ni chawa. Uchawa ni kama "kuwa mfu tu:"
9. Hapo #8, zingatia hata @lucas_mwashambwa hajui kuwa ni chawa. Credits sana kwake
johnthebaptist. Huyu anatanguliza nguvu ya hoja mbele.
10. Ndiyo maana
johnthebaptist hawezi ku m criticize TAL kiboya boya kama kina
Allen Kilewella, denoo JG au chawa wa mwamba wanavyofanya.
11. Hapo #10 hata chawa wa Chadema, CCM au wa mama, hawawezi kuthubutu hata kutaka kujaribu kum critisize TAL kiboya boya!
12. Hapo #11, kwa
johnthebaptist Bado hakuna jipya kwani yeye si chawa w Mwamba!
Habari ndiyo hiyo ndugu mjumbe.