Mbona leo anapinga Zanzibar kujitawala wakati yeye mwaka 2009 aliandika kitabu na kumtetea sana Jumbe kuwa aliondolewa kwa sababu ya hoja ya serikli tatu.
Mbona Shivji na Babu walienda Eritrea , kuwaunga mkono wakati wanataka kujitenga kutoka Ethiopia , leo anasema Muungano ukivunjika itakuwa vita , yeye alienda kuunga mkono vita huko Eritrea?
Hivi mbona sudani kusini imejitenga , kuna vita baada ya uhuru wao au kulikuwa na vita kabla ya uhuru wao kamili?
Shivji mnafiki sana..na bado anaweweseka kuukosa uenyekiti wa tume ya katiba
Hongera sana Issa Shivji. Ni vigumu kumfurahisha kila mtu, we toa hoja murua, wenye akili tunakuelewa, maana wengine wanaona upeo wa pua zao tu!Mbona leo anapinga Zanzibar kujitawala wakati yeye mwaka 2009 aliandika kitabu na kumtetea sana Jumbe kuwa aliondolewa kwa sababu ya hoja ya serikli tatu.Mbona Shivji na Babu walienda Eritrea , kuwaunga mkono wakati wanataka kujitenga kutoka Ethiopia , leo anasema Muungano ukivunjika itakuwa vita , yeye alienda kuunga mkono vita huko Eritrea? Hivi mbona sudani kusini imejitenga , kuna vita baada ya uhuru wao au kulikuwa na vita kabla ya uhuru wao kamili?
Kimsingi, mimi binafsi sio muumini wa serikali mbili, lakini anachozungumza Shivji sio ushabiki wala maslahi.Hongera sana Issa Shivji. Ni vigumu kumfurahisha kila mtu, we toa hoja murua, wenye akili tunakuelewa, maana wengine wanaona upeo wa pua zao tu!
Hongera sana Issa Shivji. Ni vigumu kumfurahisha kila mtu, we toa hoja murua, wenye akili tunakuelewa, maana wengine wanaona upeo wa pua zao tu!
"Muungano wa Warioba" utakuwa na migogoro mibaya kuliko huu wa sasa! Mfuatilie Shivji kwenye Gazeti la RaiaMwema utaelewa!upeo gani ulionao wewe tujuvye nasi kuujue huo upeo wako,,,,dont blow your own prampet,,huna kitu kijana onyesha upeo wako tuuone, ama kukata vikongwe sehemu za siri ndio upeo wa watanganyika?
Mkuu unajidanganya, Tanganyika haitarudi, chezea magamba wewe!Kelele nyingi hazisaidii, tutoe maoni kwa kuwashawishi wajumbe wa mabaraza kuunga mkono Tanganyika irudi
"Tatizo" hapa ni kwamba Shivji ameeleza kinyume na mawazo yako, angeeleza utakacho wewe hili la "wasomi" lisinge-raise!Wasomi sio watu wa kuwategemea sana katika kuandaa katiba. wao kazi yao ni kuandika maandiko ya kukosoa pale ambapo wanaona kuna lacuna usishangae msomi anakosoa hata vitu ambavyo aliviandika yeye au ni matokeo ya ushauri wake. Mmesahau kile kipindi cha orijino comedy kuna mtu anaitwa LE PROFESSER?
Labda hujafuatilia vitabu,pamoja na articles mbalimbali alizowahi kuandika SHIVJI NA MAKONGAMANO NA WARSHA Kuhusiana na muungano kati ya Tanzania na Zanzibar ndipo utamuelewa vizuri kama ujafanya hivyo fanya sasa na baadaye waweza kuja na maoni tofauti na sasa"Tatizo" hapa ni kwamba Shivji ameeleza kinyume na mawazo yako, angeeleza utakacho wewe hili la "wasomi" lisinge-raise!
Kimsingi, mimi binafsi sio muumini wa serikali mbili, lakini anachozungumza Shivji sio ushabiki wala maslahi.
Amejikita katika sheria.
Anasema hivi, Katiba ya jamhuri wa muungano inapata uhalali kutokana na hati ya muungano.
Hivyo basi katiba hiyo haitakiwi kukiuka hati hiyo ya muungano. Ana hoja, hata hivyo matakwa ya wananchi ni zaidi ya hati pamoja na katiba yenyewe.
Kama hairudi mwakani 2014 basi itarudi mwaka mwingine mpendwa, ila ninachojua ni kuwa Tanganyika itarudi ulingoni siku moj yajaMkuu unajidanganya, Tanganyika haitarudi, chezea magamba wewe!