Shivji ni msanii kuhusu Muungano...

Shivji ni msanii kuhusu Muungano...

Haki sawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
4,781
Reaction score
3,210
Mbona leo anapinga Zanzibar kujitawala wakati yeye mwaka 2009 aliandika kitabu na kumtetea sana Jumbe kuwa aliondolewa kwa sababu ya hoja ya serikli tatu.

Mbona Shivji na Babu walienda Eritrea , kuwaunga mkono wakati wanataka kujitenga kutoka Ethiopia , leo anasema Muungano ukivunjika itakuwa vita , yeye alienda kuunga mkono vita huko Eritrea?

Hivi mbona sudani kusini imejitenga , kuna vita baada ya uhuru wao au kulikuwa na vita kabla ya uhuru wao kamili?
 
Usishangae, wasomi na wanasiasa ni watu wa maslahi. Shivji maslahi yake sasa ni kwa serikali mbili, inawezekana hapo mwanzo alikuwa hajafikia hadhi aliyonayo sasa.
 
Shivji mnafiki sana..na bado anaweweseka kuukosa uenyekiti wa tume ya katiba
 
Mbona leo anapinga Zanzibar kujitawala wakati yeye mwaka 2009 aliandika kitabu na kumtetea sana Jumbe kuwa aliondolewa kwa sababu ya hoja ya serikli tatu.Mbona Shivji na Babu walienda Eritrea , kuwaunga mkono wakati wanataka kujitenga kutoka Ethiopia , leo anasema Muungano ukivunjika itakuwa vita , yeye alienda kuunga mkono vita huko Eritrea? Hivi mbona sudani kusini imejitenga , kuna vita baada ya uhuru wao au kulikuwa na vita kabla ya uhuru wao kamili?
Hongera sana Issa Shivji. Ni vigumu kumfurahisha kila mtu, we toa hoja murua, wenye akili tunakuelewa, maana wengine wanaona upeo wa pua zao tu!
 
Wasomi sio watu wa kuwategemea sana katika kuandaa katiba. wao kazi yao ni kuandika maandiko ya kukosoa pale ambapo wanaona kuna lacuna usishangae msomi anakosoa hata vitu ambavyo aliviandika yeye au ni matokeo ya ushauri wake. Mmesahau kile kipindi cha orijino comedy kuna mtu anaitwa LE PROFESSER?
 
shvji anaogopa utaifa wake utahojiwa, rangi yake, asil yake

Hivi ninyi mnadhani vurugu zikitokea hawa wageni wakupandikizwa watapona?

unadhani shvji hawazii hilo? pamoa na kwamba lengo na mawazo zaidi anapenda na sisi hakuna

anaependa fujo, vita na ubaguzi?

shivji ni neo-liberally kama sikosei
 
Hongera sana Issa Shivji. Ni vigumu kumfurahisha kila mtu, we toa hoja murua, wenye akili tunakuelewa, maana wengine wanaona upeo wa pua zao tu!
Kimsingi, mimi binafsi sio muumini wa serikali mbili, lakini anachozungumza Shivji sio ushabiki wala maslahi.
Amejikita katika sheria.
Anasema hivi, Katiba ya jamhuri wa muungano inapata uhalali kutokana na hati ya muungano.
Hivyo basi katiba hiyo haitakiwi kukiuka hati hiyo ya muungano. Ana hoja, hata hivyo matakwa ya wananchi ni zaidi ya hati pamoja na katiba yenyewe.
 
Kelele nyingi hazisaidii, tutoe maoni kwa kuwashawishi wajumbe wa mabaraza kuunga mkono Tanganyika irudi
 
upeo gani ulionao wewe tujuvye nasi kuujue huo upeo wako,,,,dont blow your own prampet,,huna kitu kijana onyesha upeo wako tuuone, ama kukata vikongwe sehemu za siri ndio upeo wa watanganyika?
Hongera sana Issa Shivji. Ni vigumu kumfurahisha kila mtu, we toa hoja murua, wenye akili tunakuelewa, maana wengine wanaona upeo wa pua zao tu!
 
upeo gani ulionao wewe tujuvye nasi kuujue huo upeo wako,,,,dont blow your own prampet,,huna kitu kijana onyesha upeo wako tuuone, ama kukata vikongwe sehemu za siri ndio upeo wa watanganyika?
"Muungano wa Warioba" utakuwa na migogoro mibaya kuliko huu wa sasa! Mfuatilie Shivji kwenye Gazeti la RaiaMwema utaelewa!
 
Wasomi sio watu wa kuwategemea sana katika kuandaa katiba. wao kazi yao ni kuandika maandiko ya kukosoa pale ambapo wanaona kuna lacuna usishangae msomi anakosoa hata vitu ambavyo aliviandika yeye au ni matokeo ya ushauri wake. Mmesahau kile kipindi cha orijino comedy kuna mtu anaitwa LE PROFESSER?
"Tatizo" hapa ni kwamba Shivji ameeleza kinyume na mawazo yako, angeeleza utakacho wewe hili la "wasomi" lisinge-raise!
 
Labda hujafuatilia vitabu,pamoja na articles mbalimbali alizowahi kuandika SHIVJI NA MAKONGAMANO NA WARSHA Kuhusiana na muungano kati ya Tanzania na Zanzibar ndipo utamuelewa vizuri kama ujafanya hivyo fanya sasa na baadaye waweza kuja na maoni tofauti na sasa
 
Kimsingi, mimi binafsi sio muumini wa serikali mbili, lakini anachozungumza Shivji sio ushabiki wala maslahi.
Amejikita katika sheria.
Anasema hivi, Katiba ya jamhuri wa muungano inapata uhalali kutokana na hati ya muungano.
Hivyo basi katiba hiyo haitakiwi kukiuka hati hiyo ya muungano. Ana hoja, hata hivyo matakwa ya wananchi ni zaidi ya hati pamoja na katiba yenyewe.

mnafiki huyu bAbu hebu muulizeni khati ya muungano ilikuwa na mambo mangapi ya muungano na sasa yako mangapi?? kama yameweza kuongezeka kwa nini anashanga kuwepo na serikali tatu ndani ya muungano.ETI MSOMI looooooooooooooooh kazi kweeeli.
 
Mimi alinichefua sana siku masaa 2 anatoa povu kutetea serkali mbili hana maana yule mchumia tumbo tu yule. He cannot speak his mind more less he is an acrobatic hypocrite
 
Back
Top Bottom