Shiza Kichuya: Mtoto karudi nyumbani

frenk julius

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
377
Reaction score
242
Baada ya tetesi kwamba kasaini Yanga, leo yeye mwenyewe kathibitsha hawezi kuacha kurudi nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app

=====
 
Kwa usajili huu ndio alikuwa anajinasibu kutaka kuipeleka Simba level za Tp mazembe, Zamelek,Kichuya ana product ipi ya kuisaidia Simba ujanja ujanja wa kufanya vitu kwa mazoea tu.
 
Kwa usajili huu ndio alikuwa anajinasibu kutaka kuipeleka Simba level za Tp mazembe, Zamelek,Kichuya ana product ipi ya kuisaidia Simba ujanja ujanja wa kufanya vitu kwa mazoea tu.
Kichuya amesajiliwa ili kuziba nafasi Ya miraji na Juma ambao majeraha yanawasumbua. Ulitaka wamlete Nani katikati ya msimu Tena kwa ligi ya bara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichuya amesajiliwa ili kuziba nafasi Ya miraji na Juma ambao majeraha yanawasumbua. Ulitaka wamlete Nani katikati ya msimu Tena kwa ligi ya bara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunachokiangalia ni kiwango chake cha sasa Current form ipo vipi,Anakuja kuziba nafasi wakati ameshachoka,Nafasi anayocheza Kichuya kwenye Squad ya Simba ina wachezaji zaidi ya 8 mpaka 10 kuna mahitaji ya timu ya hivyo au ni kuweka rundo la wachezaji tu.
 
Hapa chakuangalia labda kiwango chake Kama kipo vizuri, lakini kuhusu Simba kua nawachezaji 8 mpaka 10 wanafasi ya Kichuya sio kweli. Kiasili Kichuya ni winga asilia Mwenye kuweza kucheza kushoto ama kulia kisasa.

Na kwahapo Simba mawinga asilia hawazidi ata watatu kuna Luis, Rashid Juma na Miraji wengine waliobaki ni either viungo wa Kati au viungo wa kushambulia. Kichuya atakuja kuisaidia Simba kwani watakua na option tofautitofauti kuna mechi itakupaswa uanze na winga asilia mwenye mbio na anaeweza kupiga krosi.

Wasiwasi wangu nikiwango chake na kuweza kuadopt mifumo ya mwalimu Mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…