frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
Baada ya tetesi kwamba kasaini Yanga, leo yeye mwenyewe kathibitsha hawezi kuacha kurudi nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
=====
Sent using Jamii Forums mobile app
=====
Hapa chakuangalia labda kiwango chake Kama kipo vizuri, lakini kuhusu Simba kua nawachezaji 8 mpaka 10 wanafasi ya Kichuya sio kweli. Kiasili Kichuya ni winga asilia Mwenye kuweza kucheza kushoto ama kulia kisasa.
Na kwahapo Simba mawinga asilia hawazidi ata watatu kuna Luis, Rashid Juma na Miraji wengine waliobaki ni either viungo wa Kati au viungo wa kushambulia. Kichuya atakuja kuisaidia Simba kwani watakua na option tofautitofauti kuna mechi itakupaswa uanze na winga asilia mwenye mbio na anaeweza kupiga krosi.
Wasiwasi wangu nikiwango chake na kuweza kuadopt mifumo ya mwalimu Mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app