Sho Madjozi kuachana na Muziki baada ya kuachia albamu ya 3, adai Wamarekani walitaka kumbadilisha na hana hiyo energy tena

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
1732518339550.png

Msanii wa Muziki wa Afrobeats kutoka Limpopo, Maya Wegerif a.k.a Sho Madjozi amegusia suala la kuachana na Muziki wakati atakapoachia Albamu ya 'Limpopo Champions League Vol.2' ambayo amesema itakuwa ya mwisho.

Madjozi ambaye mwaka 2020 alisaini Mkataba na Lebo ya Epic Records ya Marekani, aliamua kujiondoa katika Lebo hiyo kwa maelezo kuwa hakukubaliana na masharti ya namna Epic ilivyotaka kubadili jinsi anavyopaswa kuonekana au kusikika kwenye Muziki wake.

Limpopo-born singer and songwriter Maya Wegerif, affectionately known by her stage name Sho Madjozi, hinted that her music career might end soon.

The news comes following the recent announcement of her soon-to-be-released album, Limpopo Champions League Vol.2.

In an interview with news and entertainment publication The Citizen, the John Cena hitmaker spoke openly about the struggles of living up to the demands of others when entering the music scene.

She revealed that this has often put her in positions where she was expected to move away from what has made her authentic and says this was draining her energy.

“The way that the music industry is set up at the moment, you spend more time trying to get attention,” she said.

Sho Madjozi explains that the biggest drainage of energy is having to constantly be the trending topic on social media to stay relevant when all she desires is to enjoy making music. “I don’t have the energy to play that game and constantly be performing for attention or calling for attention. I’m not really good at that.”

In 2020 the singer signed with the renowned American label Epic Records, a company known for having produced some of the biggest artists that included Mariah Carey. While Sho was excited about being on their books at the time, she has now decided to step away from the company following disagreements on how she wanted to brand herself.

“I’m being told I need to add more English or I need to wear fewer clothes and I’m just like ‘this was not part of the plan, this is not me, it was never me,’” she says.

“They wanted a star that they could Americanise and I couldn’t be that. I don’t think they had sinister intentions, I just think it wasn’t a good match.”

Going forward she says that she plans to focus her attention on her hair brand Sparkle, to work on children’s books, and venture into film which is what she studied before becoming a musician.
 
Ndio mjue ndugu zetu wanapitia mengi kwa ajili ya fame and money lakini sio wote wenye courage ya kusema au kujitoa kama Sho Madjozi.
Msione kaka zenu wamevaa blouses na sindiria mkafiria wamependa, ni masharti
 
Huyo Sho madjozi alikua ana date na jamaa hivi wa marekani ambae ndo alikua manager wake. Baada ya kuachana jamaa akaenda kwa Tyla.
Unaona wasanii wa africa walioshinda Grammy wamepita kwenye mikono ya Didy. Tyla ana management kubwa ya marekani nyuma yake inayomfanikishia mziki wake usonge. Kipaji cha kawaida ila management sasa ndo kila kitu
 
View attachment 3160933
Msanii wa Muziki wa Afrobeats kutoka Limpopo, Maya Wegerif a.k.a Sho Madjozi amegusia suala la kuachana na Muziki wakati atakapoachia Albamu ya 'Limpopo Champions League Vol.2' ambayo amesema itakuwa ya mwisho.

Madjozi ambaye mwaka 2020 alisaini Mkataba na Lebo ya Epic Records ya Marekani, aliamua kujiondoa katika Lebo hiyo kwa maelezo kuwa hakukubaliana na masharti ya namna Epic ilivyotaka kubadili jinsi anavyopaswa kuonekana au kusikika kwenye Muziki wake.

Limpopo-born singer and songwriter Maya Wegerif, affectionately known by her stage name Sho Madjozi, hinted that her music career might end soon.

The news comes following the recent announcement of her soon-to-be-released album, Limpopo Champions League Vol.2.

In an interview with news and entertainment publication The Citizen, the John Cena hitmaker spoke openly about the struggles of living up to the demands of others when entering the music scene.

She revealed that this has often put her in positions where she was expected to move away from what has made her authentic and says this was draining her energy.

“The way that the music industry is set up at the moment, you spend more time trying to get attention,” she said.

Sho Madjozi explains that the biggest drainage of energy is having to constantly be the trending topic on social media to stay relevant when all she desires is to enjoy making music. “I don’t have the energy to play that game and constantly be performing for attention or calling for attention. I’m not really good at that.”

In 2020 the singer signed with the renowned American label Epic Records, a company known for having produced some of the biggest artists that included Mariah Carey. While Sho was excited about being on their books at the time, she has now decided to step away from the company following disagreements on how she wanted to brand herself.

“I’m being told I need to add more English or I need to wear fewer clothes and I’m just like ‘this was not part of the plan, this is not me, it was never me,’” she says.

“They wanted a star that they could Americanise and I couldn’t be that. I don’t think they had sinister intentions, I just think it wasn’t a good match.”

Going forward she says that she plans to focus her attention on her hair brand Sparkle, to work on children’s books, and venture into film which is what she studied before becoming a musician.
Huyu ni dada anaonekana anajitambua. Atafanikiwa kwenye eneo lolote like hata biashara.
 
Hongera kwake kwa kuwa anajitambua.
 
Wanawake wanapitia mengi sana hadi kufikia mafanikio.

Mwanamke kutoboa kwenye male dominated industry lazima akubali kuchezea mtalimbo wa wanene vinginevyo hawezi kutoka.

Uliza miss Tanzania wote wa hapa Bongo watakwambia wamechezea sana mtalimbo wa Lundenga hadi alipochoka mwenyewe. Njoo kwenye muziki, wasanii wa kike wamechezea sana mitalimbo ya ma djs na wamiliki wa vituo kina Ruge Mutahaba.

Angalia hata Marekani, P.Didy na wenzake wamepaka watu wengi sana mafuta ili wawatoe kimuziki.
 
Hiyo ni industry mbaya sana wengi wangependa kutoka na kufanya vitu tofauti ila sio rahisi ukishaingia
Huyu alifanya matangazo ya utalii bongo yalikuwa mazuri sana kama tungekuwa na muendelezo utalii ungekuwa mkubwa sana ila ndio hivyo
 
E bwanaa eeh..wayahud hawa hawa wanaopelekea moto Hezbollah au??
Kwan huyu kidekude ndio nan na anafanya ishu gani hapo Marekan kwa wayahudi??

Jews ndio wanashikilia biashara zote Duniani. Holywood wamiliki ni wao na kwenye biashara ya muziki hata hii Hop Hop inaitwa ya weusi wao ndio wanaimiliki. Kuna baadhi yao ni mashetani wanachofanya ni kuhalalisha kutangaza ushoga kwa kuwalegeza hawa idols wa madogo zetu
 
Wanawake wanapitia mengi sana hadi kufikia mafanikio.

Mwanamke kutoboa kwenye male dominated industry lazima akubali kuchezea mtalimbo wa wanene vinginevyo hawezi kutoka.

Uliza miss Tanzania wote wa hapa Bongo watakwambia wamechezea sana mtalimbo wa Lundenga hadi alipochoka mwenyewe. Njoo kwenye muziki, wasanii wa kike wamechezea sana mitalimbo ya ma djs na wamiliki wa vituo kina Ruge Mutahaba.

Angalia hata Marekani, P.Didy na wenzake wamepaka watu wengi sana mafuta ili wawatoe kimuziki.
But the end test sour
 
Back
Top Bottom