Sho Madjozi kuachana na Muziki baada ya kuachia albamu ya 3, adai Wamarekani walitaka kumbadilisha na hana hiyo energy tena

Sho Madjozi kuachana na Muziki baada ya kuachia albamu ya 3, adai Wamarekani walitaka kumbadilisha na hana hiyo energy tena

Nomer sanaa, nilishangaaa sana John Cena kumfanyia suprisee akiwa stagin nikajuaa tuu something is not right. Maskini shoo ameshapakazwaa uchafuuu huo huyu ndani ya miaka mitatuu kama hajarudi kwenye mziki basi atakua kichaaa, hawez kuchomokaa kwenyee hio biasharaa haramu
Labda mali zotee alizozuna agawe aanze mwanzo, list ni ndefu ya mastaaa waliojaribu kuacha mzee yusuf, jay z, kanye, harmonizer, ali kiba....
Ni biashara ovuu sanaa, na sisi tunaosikilizaa tunapokea frequency za ajabu, tunawaza mav mav tu
 
Ndio mjue ndugu zetu wanapitia mengi kwa ajili ya fame and money lakini sio wote wenye courage ya kusema au kujitoa kama Sho Madjozi.
Msione kaka zenu wamevaa blouses na sindiria mkafiria wamependa, ni masharti
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom