Nomer sanaa, nilishangaaa sana John Cena kumfanyia suprisee akiwa stagin nikajuaa tuu something is not right. Maskini shoo ameshapakazwaa uchafuuu huo huyu ndani ya miaka mitatuu kama hajarudi kwenye mziki basi atakua kichaaa, hawez kuchomokaa kwenyee hio biasharaa haramu
Labda mali zotee alizozuna agawe aanze mwanzo, list ni ndefu ya mastaaa waliojaribu kuacha mzee yusuf, jay z, kanye, harmonizer, ali kiba....
Ni biashara ovuu sanaa, na sisi tunaosikilizaa tunapokea frequency za ajabu, tunawaza mav mav tu