Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ukiambiwa athari za ukoloni ndio hizo sasa ni ngumu kutoka zinakaa kizazi hadi kizaziii...watanzania ni wanafiki sana tena ukisafiri ndio utawafahamu.
waarabu wenyewe hawatupendi na kitendo walichotufanyia kwao kabisa kinaonesha wenzetu wanaushirikiano uwezi kuona mpinzani wa kwao kashangilia timu ngeni.
huku kwetu yani mijitu baada ya kuipongeza yanga wao wanashobokea waarabu utazani wamezaliwa huko.
utaifa kwanza .yanga hongereni
Wapumzisheni Makolokolo wanapitia wakati mgumu sana Wakuu, hawatarudia tena.Ukiambiwa athari za ukoloni ndio hizo sasa ni ngumu kutoka zinakaa kizazi hadi kizaziii...
Wapuuzi hawaaaUtopolooo mmesahau kabisa mabaya na figisu zenu juu ya Simba?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajifanya wamesahauSasa wewe ni Simba ulete shobo kwa Gongowazi tangu lini wao wakakupenda na kukuwazia mazuri?
Kabla hata ya kuwangalia hao waarabu ebu angali hii picha hapa View attachment 2646011
Hapo siyo kushobokea WaarabuWatanzania ni wanafiki sana tena ukisafiri ndio utawafahamu. Waarabu wenyewe hawatupendi na kitendo walichotufanyia kwao kabisa kinaonesha wenzetu wana ushirikiano, huwezi kuona mpinzani wa kwao kashangilia timu ngeni.
Huku kwetu yaani mijitu badala ya kuipongeza yanga wao wanashobokea waarabu utadhani wamezaliwa huko.
Utaifa kwanza, Yanga hongereni
kwani dini yako inasemajeUnasema waarabu hawatupendi..
We unataka kupendwa na waarabu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamevurugwaaaWapuuzi hawaaa
umeuwaaaaa.Sasa wewe ni Simba ulete shobo kwa Gongowazi tangu lini wao wakakupenda na kukuwazia mazuri?
Kabla hata ya kuwangalia hao waarabu ebu angali hii picha hapa View attachment 2646011