Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Watanzania ni wanafiki sana tena ukisafiri ndio utawafahamu. Waarabu wenyewe hawatupendi na kitendo walichotufanyia kwao kabisa kinaonesha wenzetu wana ushirikiano, huwezi kuona mpinzani wa kwao kashangilia timu ngeni.
Huku kwetu yaani mijitu badala ya kuipongeza yanga wao wanashobokea waarabu utadhani wamezaliwa huko.
Utaifa kwanza, Yanga hongereni
Huku kwetu yaani mijitu badala ya kuipongeza yanga wao wanashobokea waarabu utadhani wamezaliwa huko.
Utaifa kwanza, Yanga hongereni