King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Magonjwa ya Mifumo ya Hewa ndio yapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuwatetei Agha Khan au hospitali yoyote itakayokuja na gharama za kitalii kwa magonjwa ambayo wananchi wengi wanahitaji huduma!Acha kuongea vitu usivyovijua,anza kujua na gharama za hizo services ,unashamgaa kairuk aghakan ni 1m plus ,
Pale unapopandisha bei mara nyingi katika kipindi fulani cha ugonjwa wa mlipuko ni dhahiri kuna question mark. Kwa nini hizi bei hazikushoot kiasi hiki miezi kadhaa nyuma wakati tatizo la korona halikuwa kubwa nchini?
Mkuu ata hosptal za serikali nadhani ata muhimbuli, bugando na nyingine ukiwa I.C.U na ukihitaji ventilator kwa siku ni laki 5 apo ni intensive care achilia mbali dawa na baadhi ya malipo menginena ni toka muda sio kwa kipindi hichi, kama nitakua nimekosea nirekebishwe na private nyingne kwa siku zinaenda hadi 1MAcha kuongea vitu usivyovijua,anza kujua na gharama za hizo services ,unashamgaa kairuk aghakan ni 1m plus ,
HALI NI NGUMU, 600K TUNAPATA WAPI FASTA FASTA?
Agha khan bed rest na matibabu ya siku ni sawa sawa na gharama za IST BUMPER [emoji16][emoji16]Hatuwatetei Agha Khan.
Tunaiamsha serikali na mamlaka zinazohusika na tiba za wananchi zitupie jicho bei hizi utadhani tuko ulaya!
Kairuki wanatushangaza zaidi maana bei zao zimeshoot zaidi kipindi hiki cha korona kuliko ilivyokuwa awali, Je wanakusudia nini kuzipandisha hizo bei kipindi hiki?
Watu wanaongea tu mkuu hawajui uwekazaji wa hizo system,lijitu limekula maharage yake ya kuchacha huko linasikia kitu linakimbilia na mawazo yake mgando bika ku tress out WHYsMkuu ata hosptal za serikali nadhani ata muhimbuli, bugando na nyingine ukiwa I.C.U na ukihitaji ventilator kwa siku ni laki 5 apo ni intensive care achilia mbali dawa na baadhi ya malipo mengine, kama nitakua nimekosea nirekebishwe na private nyingne kwa siku zinaenda hadi 1M
Na hizo hospitali nazo zikipandisha bei na kuwa za kitalii wananchi watatibiwa wapi?Kama hakuna sheria ya kudhibiti bei, usilete kelele.
Hospitali zipo nyingi, nenda unakoona unamudu.
Weee mama d unajua uwekezaj wa hivyo vifaa au unabwabwaja tu kmbwa alikuwa kwenye heat,nenda aghakan wanalipa zaid ya 1m.
Hii ni nakala hata sahihi hakuna? Za msigwa ndio zinakuwaga namna hiyo?Barua za Gerson Msigwa kwenda kwa vyombo vya habari,ulishawahi ona ina muhuri???? Logo pekee inatosha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
... na bahati nzuri/mbaya kaburi lake liko hapo hapo lango kuu la kuingilia hospitalini!...
Tunataka hii hospitali ibadirishe huu utaratibu maramoja!. Mwanzilishi wa hii hospitali hayati profesa Kairuki atakuwa anajigeuza kaburini sasa kwa baadhi ya cowards wachache kutaka kuwatosa wananchi katika kipindi hiki kigumu cha kiafya duniani!
....
Mbn siku hzi beef zinakuwa nyingi [emoji23][emoji23]Niko kwenye hilo hiti na mamyako.... na sijui mlikua mnaongea nini hadi akakuhadithia mambo ya wanawake? Mfyuuu
Kuna tofauti kati ya biashara ya kuuza beer na kutoa huduma ya afya. Kama hujui sheria na miongozo ya watoa huduma za afya usikurupuke, tulia weweeee
Am telling you there are other options.Na hizo hospitali nazo zikipandisha bei na kuwa za kitalii wananchi watatibiwa wapi?
Wewe it seems una kipato, you don't care about others
Labda wao wanawalenga kuwatibu matajiri tuHatuwatetei Agha Khan au hospitali yoyote itakayokuja na gharama za kitalii kwa magonjwa ambayo wananchi wengi wanahitaji huduma!
Tunaiamsha serikali na mamlaka zinazohusika na tiba za wananchi zitupie jicho bei hizi utadhani tuko ulaya!
Kairuki wanatushangaza zaidi maana bei zao zimeshoot zaidi kipindi hiki cha korona kuliko ilivyokuwa awali, Je wanakusudia nini kuzipandisha hizo bei kipindi hiki?
Hahaha kuna watu wapo huku kwaajili ya kutukania mifumo ya wananawake iliyowekwa na mwenyezi MunguMbn siku hzi beef zinakuwa nyingi [emoji23][emoji23]
Hili jukwa ndomana tumewakimbia tukingia ni kuchungulia na kutoka..
Muda wote tuko kwenye jukwaa letu la warembo wakali tu
Ova