mkemiamkuu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 355
- 284
Asante mkuuJaribu kuulizia vizuri, naamini zinaweza patikana pale kariakoo. Kama hutapata ingia store ya BEFOWARD na agiza utapata ndani ya Sikh chache.
Uhakika wa kupata Nairobi ni 80%. Ingia kwenye mtandao, check maduka makubwa ya Mazda, pata contacts zao, waulize kama wanazo na jinsi ya kutuma.Habari wana JF, nina MAZDA PREMACY ya 2001 shock up zake zimeisha, nipo Mbeya na nimetafuta huku hamna, nikauliza baadhi ya watu Dar nikaambiwa hazipatikani. Please naomba msaada km kuna mtu anaweza nisaidia kuzipata. Natanguliza shukrani
Tafuta mtu aliyeko dar akakuulizie pale barabara ya mandela maeneo ya matumbi opposite na access bank, (ni mbele kidogo ya daraja la kwanza kwa kutokea buguruni kuelekea mataa ya kuingilia tabata) pale hata ukikosa mmiliki wa hilo duka atakuagizia na utaipata yaani pale ni maarufu na wamespesholaiz kwenye mazda tu!! kwenye mazda hawashindwi!!!!!Habari wana JF, nina MAZDA PREMACY ya 2001 shock up zake zimeisha, nipo Mbeya na nimetafuta huku hamna, nikauliza baadhi ya watu Dar nikaambiwa hazipatikani. Please naomba msaada km kuna mtu anaweza nisaidia kuzipata. Natanguliza shukrani
Huko katavi nikuweka juu ya mawe tu mkuuMh ndio maana watu wanakimbilia Toyota ..sasa kama jiji la mbeya hakuna spea huku Katavi itakuwahe
akikosa tabata matumbi ajaribu mtaa wa shaurimoyo kwenye maduka ya spare kuna duka maduka mawili yanauza spare za mazda.Tafuta mtu aliyeko dar akakuulizie pale barabara ya mandela maeneo ya matumbi opposite na access bank, (ni mbele kidogo ya daraja la kwanza kwa kutokea buguruni kuelekea mataa ya kuingilia tabata) pale hata ukikosa mmiliki wa hilo duka atakuagizia na utaipata yaani pale ni maarufu na wamespesholaiz kwenye mazda tu!! kwenye mazda hawashindwi!!!!!
Yes mkuu kwa kifupi spea za mazda dar sio tatizo kabisaaaa kwa sasa tena mazda yenyewa primacy ya 2001 atapata tu azingatie haya tulomweleza na hata akikosa, ebay, befoward, na japanesevehicles zimejazana huko hela yake tuakikosa tabata matumbi ajaribu mtaa wa shaurimoyo kwenye maduka ya spare kuna duka maduka mawili yanauza spare za mazda.