mkemiamkuu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 355
- 284
Habari wana JF, nina MAZDA PREMACY ya 2001 shock up zake zimeisha, nipo Mbeya na nimetafuta huku hamna, nikauliza baadhi ya watu Dar nikaambiwa hazipatikani. Please naomba msaada km kuna mtu anaweza nisaidia kuzipata. Natanguliza shukrani