huyo kikuyu
MK254 huwezi kuona akitoa kuauli kwenye thread kama hii.
kazi yake kubwa hapa jf ni kuanzisha topic inayoonyesha mkenya mmoja ameshinda shindano fulani europe au USA.
thread zinazohusu masuala mazito yanayogusa wakenya wengi masikini hajihusishi nazo.