Shocking details of mysterious owners of Kenya’s SGR firm

Shocking details of mysterious owners of Kenya’s SGR firm

Wandishi wamefaya uhalisia bila proof ama evidence yeyote ya picha za hizo documents....hio yote ni upuuzi ya githeri media house

But I think the media that reported the news is the one with high credibility in the country and region. It can't thubutu to publish something not true, coz I know there are pieces of legislation that guide the media.
 
huyo kikuyu MK254 huwezi kuona akitoa kuauli kwenye thread kama hii.

kazi yake kubwa hapa jf ni kuanzisha topic inayoonyesha mkenya mmoja ameshinda shindano fulani europe au USA.

thread zinazohusu masuala mazito yanayogusa wakenya wengi masikini hajihusishi nazo.
Sasa threads za kibera kunuka mafii azilete za nn wakati yeye yupo dar es salaam anavuta hewa safi ya bahari na kula mema ya nchi
 
Back
Top Bottom