Hehhehhehehrh Laiti kama K zingedoma milage. ....
Zingene zingetakiwa kuwa dumped
Mimi nahisi behind the game yupo pia Ivan. Hawa watu mara nyingi wamekuwa wakisemwa kukutana na kupasha kiporo we unadhani hapo jamaa haliumii hata kama ni ma X?? Fuatilia interview zao hawa watu utagundua kitu.
Mimi nahisi behind the game yupo pia Ivan. Hawa watu mara nyingi wamekuwa wakisemwa kukutana na kupasha kiporo we unadhani hapo jamaa haliumii hata kama ni ma X?? Fuatilia interview zao hawa watu utagundua kitu.
Na mimi nimehisi Ivan anahusika kwa kweli. Zari has been through a lot of problems with Ivan. Nachohisi now ni kuwa zari is trying to show them kuwa amemove on, hana habari nao tena, she is happy with Dai. Kina Ivan kimewauma, so huyo king anatumiwa tu kumvuruga zari akose amani. Ivan atakubalije king awatumie watoto wake kuseek sympathy eti wameachwa na mama yao?
I think zari angenyamaza kimya, ingewaua kabisa coz wangejiona wajinga, unampondea mtu wee afu kakuignore. But zari na yeye analipuka, so its like anawaprovoke wazidi kumdhalilisha na huyo king hana cha kupoteza at all coz ashazoeleka kuwa hajielewi. Honestly sijawahi ona shemeji mwenye kisebengo kama king, afu anaweka na evidences, whether ni za kweli au za uongo.. Zinamuharibia sana zari
Mwisho wa hii project najua Diamond atarudi kwa Wema na safari hii watafunga ndoa na Zari Hassan atarudi kwa Ivan baba watoto wake.
Subirini mtaona tu
Hahahaa... Even this kid Aziz Azion?
Is this all saga because of Platnumz or?
Mi aliniacha hoi tu pale alipomuofa midolari Diamond eti amuache Zari, sababu kuu eti arudi kulea wanae! Lol
Hiyo njia wanayoitumia sio