Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,311
Na mimi nimehisi Ivan anahusika kwa kweli. Zari has been through a lot of problems with Ivan. Nachohisi now ni kuwa zari is trying to show them kuwa amemove on, hana habari nao tena, she is happy with Dai. Kina Ivan kimewauma, so huyo king anatumiwa tu kumvuruga zari akose amani. Ivan atakubalije king awatumie watoto wake kuseek sympathy eti wameachwa na mama yao?
I think zari angenyamaza kimya, ingewaua kabisa coz wangejiona wajinga, unampondea mtu wee afu kakuignore. But zari na yeye analipuka, so its like anawaprovoke wazidi kumdhalilisha na huyo king hana cha kupoteza at all coz ashazoeleka kuwa hajielewi. Honestly sijawahi ona shemeji mwenye kisebengo kama king, afu anaweka na evidences, whether ni za kweli au za uongo.. Zinamuharibia sana zari
zari mwenyewe mganda.that old suger mummy mnamtetea..ungekuwa mbongo mwezenu mgemchambaje..