Shockup ya Subaru

Afunge tu shock up za Toyota bhana, mpya ni laki unusu kwa pair moja, wala asiogope, aende pale Lindi/ shauri moyo
 
Jerry yuko smart na anaielewa kazi yake.
Natamani angekua anatoa elimu yake kwenye jukwaa la mambo ya magari hapa JF.
Ana utaalamu wa issue za magari na pikipiki..?
 
Hata kwenye kuagiza gari tunamakodi ya kufanya waTz tuwe wote tunamiliki baiskeli na sio gari tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…