Shockup ya Subaru

Shockup ya Subaru

Bongo huwa tunaumizana sana kwenye spareparts. Sijui tatizo lipo upande wa TRA(kodi kubwa kuingiza vipuri) au ni wafanyabiashara tuu wanaamua kutuumiza kwakuwa hatuna namna. Hiyo ni shockup tuu milion, sasa ukipiga hesabu ya kipuri kimoja kimoja kwa gari nzima si itafika kwenye 50m?
Afunge tu shock up za Toyota bhana, mpya ni laki unusu kwa pair moja, wala asiogope, aende pale Lindi/ shauri moyo
 
Hata kwenye kuagiza gari tunamakodi ya kufanya waTz tuwe wote tunamiliki baiskeli na sio gari tena.

Back
Top Bottom