Shoga Amshobokea Msanii Wa Bongo Movies

Shoga Amshobokea Msanii Wa Bongo Movies

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Msanii wa Bongo Movies Deogratius Shija alipata wakati mgumu wakati alipotokewa na ------ huku akidai kuwa amemtamani.

Msanii huyu ambaye amejitosa katika tasnia ya uigizaji aliongea na paparazi fulani kuwa tukio hili lote lilimtokea akiwa katika ukumbi wa Traventine-Magomeni, Dar. Deogratius alikuwa ameenda kwa haja ndogo kabla laana huyu kumtokezea na kuanza kumpapasa mgongo huku akidai amempenda.

"Nilimshtukia kumbe ni shoga. mapenzi ya jinsia moja ni dhambi kubwa sana kwa Mungu, sijawahi na sitaweza kufanya dhambi hiyo milele mimi ni Mkristo niliyekamilika, nawashangaa wanaume wanaofanya uchafu huo," alisema Shija huku akitoa hisia tofauti tofauti na tukio hilo.

Tabia ya ushoga imekithiri sana kanda ya Afrika Mashariki huku wengi wakijitokeza live kuonyesha ujinsia wao wa jambo hili.

Stori imedondoshwa kutoka bkuHABARI
 
Siku hizi ushoga imekuwa fashion bongo

Watoto wadogo wanatoa ----.
 
Sasa hilo tu mpaka akaongee na waandishiii si angenyamazaa tu
 
Huyu msanii anatumiaga jina gani. Maana idadi ya wasanii wa Bongo movie washawazidi wa bongo fleva.
 
Back
Top Bottom