si ajabu kuongea hivyo wakati yeye ni mhuni mwenzao...kiongozi unatakiwa kutathmini mialiko unatyopewa.nimefurahishwa sana na serikari naomba waendelee hivyo hivyo ziko filamu nyingi tu za hovyo hovyo. namshaangaa mbunge wa kinondoni Idi azania kukubari kuwa mgeni rasmi . na katika hotuba yake akawa anaongea maneno ya kihuni eti tusikubali kuliwa kiboga. nilimuona kupitia tv
Wakuu
nimefurahishwa na uamuzi wa wizara ya habari na utamaduni kuzuia filamu inayoitwa "shoga" sijui watz walioitengeneza walikuwa wanataka kufundisha nini jamii na hasa ukizingatia no PG restrictions...hivi hakuna mambo mengine ya kuact? au wahuni wachache wa kinondoni wanataka kupublish business yao chafu kupitia media ya filamu? wahusika pls ban it for good! labda kama ilikuwa na ujumbe tofauti,but only the name gives me kichefuchefu...HEBU watupie macho na hizi uchiuchi nyingine!
sijui wenzangu mnaionaje?
kwa mujibu wa Tino hawajaiban,ila wameomba kuitazama kwanza kama inaendana na maadil ya watz.itarudi mitaani karibuni
si juu umesema kwamba amecopy kila kitu,kwani ulikuwa wamzungumzia nanisorry. who is tino?
si juu umesema kwamba amecopy kila kitu,kwani ulikuwa wamzungumzia nani
ok samahani sikuwa nimeangalia vizuri,Tino ndio mmiliki na amecheza kama shoga kwenye hii movie.una uhakika ni mimi? soma thread vizuri hapo juu tama ndio ameongelea mambo ya kukopi kama huna jibu kaa kimya