Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu
nimefurahishwa na uamuzi wa wizara ya habari na utamaduni kuzuia filamu inayoitwa "shoga" sijui watz walioitengeneza walikuwa wanataka kufundisha nini jamii na hasa ukizingatia no PG restrictions...hivi hakuna mambo mengine ya kuact? au wahuni wachache wa kinondoni wanataka kupublish business yao chafu kupitia media ya filamu? wahusika pls ban it for good! labda kama ilikuwa na ujumbe tofauti,but only the name gives me kichefuchefu...HEBU watupie macho na hizi uchiuchi nyingine!
sijui wenzangu mnaionaje?
nimeshakusoma unaojiita mwinjilisti, kwako ww dhambi ni ushoga ila wanachokifanya dada na kaka zetu kwenye movi zingne kwako ni sawa, hata ukifumba macho ukweli utabki pale pale tino amèfikisha ujumbe kwenu nyinyi mnaopenda kufcha madhambi kwa kicngzio cha kulinda maadili, mm sio shoga na ndo mana naisapoti iyo movi sababu imebeba ujumbe mzitoWewe Mataka nawe ni shoga, utaanzaje kusupport usodoma na Gomora? Kichefuchefu, aibu na dhambi chafu kihivyo itaanzajwe kuigwa na kurekodiwa! Ina maana hujui watoto wetu utakacho wakataza ndiyo anafanya? Au wewe huna watoto au tuseme vijana ambao wako kwenye foolish age! Hujaona wewe mtoto unamkataza kushika wembe kuwa utamkata, na yeye analilia huo huo wembe! Sasa wakishaanza kuonyeshwa kwenye television si kila mtoto wa kiume ataiga kwa kumfanya mwenzake wa kiume! Na matokeo yake ni nini, wakishanogewa? Kabla hujasupport upuuzi inabidi ufikirie kwanza impact ya hicho kitu unachokisupport! Inabidi tukemee ushoga lakini siyo kwa strategy hiyo ya Tino! Ipo mikakati ya kukemea ushoga! NAOMBA MUNGU HIYO FILAMU IWE BANNED COMPLETELY
Hivi vitu ni vya kuzuia watoto wetu wasijifunze vitu vya uarabuni!!
tena ufute kauli yako wengine imetukwaza ivi ni wapi ushoga umehararishwa kati ya uarabuni na magharibi? Ni sheria za nchi gani hapa ulimwenguni wanatoa adhabu kwa wanaojihusisha na ushoga?Hivi vitu ni vya kuzuia watoto wetu wasijifunze vitu vya uarabuni!!
tena ufute kauli yako wengine imetukwaza ivi ni wapi ushoga umehararishwa kati ya uarabuni na magharibi? Ni sheria za nchi gani hapa ulimwenguni wanatoa adhabu kwa wanaojihusisha na ushoga?
wakuu
nimefurahishwa na uamuzi wa wizara ya habari na utamaduni kuzuia filamu inayoitwa "shoga" sijui watz walioitengeneza walikuwa wanataka kufundisha nini jamii na hasa ukizingatia no pg restrictions...hivi hakuna mambo mengine ya kuact? Au wahuni wachache wa kinondoni wanataka kupublish business yao chafu kupitia media ya filamu? Wahusika pls ban it for good! Labda kama ilikuwa na ujumbe tofauti,but only the name gives me kichefuchefu...hebu watupie macho na hizi uchiuchi nyingine!
Sijui wenzangu mnaionaje?
Mbunge mgeni rasmi then filam inapigwa ban, sijui alienda kuzindua upupu? Shame upon him.