Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Semaa wee uduguu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wawaache mtambe mnavyoweza, hili jukwaa huru..!! Huko majumbani kesi nyingi wanawaomba mambo meusi wake zao, halafu huku wanajifanya wakereketwa mxiewwww.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna jamaa maeneo ya mabibo hostels kipindi icho najichanganya sana kitaa alikua anafungwa jela kwa makosa madogo dogo(petty issues) kama wizi, kupiga watu and the likes.... Anafungwa kama miezi 6 ivi, baada ya kama miez minne anarudi kitaa Cha kushangaza haipiti wiki anafanya tukio tena anarudi jela, ikawa ndo trend yake


Kuja kuuliza naambiwa huyo ni mke wa mtu bwana ake yupo jela kifungo kirefu kama io mama watoto akiachiwa anarudi mtaani anapambana afanye tukio arudi kwa mme wakeπŸ˜ƒ
 
Hahahaa.... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tumeshawasiliana na wanasheria wa Nigeria wanaenda kumkatia rufaa ili atoke.

Huu ndio uzuri wa utawala wa sheria. Hakuna ujanja ujanja kama ule wa Tanganyika wa kufungana jela kwa kutumia sheria za uchochoroni.

Kila kitu kinaenda sawia, atatoka nje kirahisi sana kwa sababu hana hatia yoyote.

Jaji alijaa mihemko ya kidini akafikiri yuko kwenye baraza la kikristo akajikuta anatoa hukumu duni ya kibiblia badala ya kisheria (a controversial biblical judgement).

Tumeshaandaa rufaa mwaisa, hili swala ni jepesi mno.

Cc cocastic
Vp mshamtoa?
 
Role model!? Aisee! Unaona kosa lililompeleka jela lakini au unajitoa ufahamu.!? Kama anagongwa anagongwa yeye mwenyewe kwa hiyari yake, kwa hiyo hizi kelele za ku_mind life style yake ni za nyie wajinga TU, kwani hata waliomfunga huko Naija hawajaliona Hilo, nyie wakuda mlioko Tz mmelionaje!?
Mkuu unaonekana unapenda sana ugay ugay,uko salama kweli?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnatakaje kuyamaliza bila idhini yangu alaaah
Haya mi sina neno nasubiri aje coca hapa tuyamalize πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana usije ukawasha moto bure hapa
 
Mkuu unaonekana unapenda sana ugay ugay,uko salama kweli?
Mimi natetea Haki yake ya kuishi maisha yake bila ya kubugudhiwa na mtu. Nashangaa Wabongo kushupalia ishu yake ya Uchoko wakati hao waliomfunga hawajamfunga kwa kosa Hilo. Wanamuhukimu vipi mtu ambaye mamlaka za kwao hazijamuhukumu kwa kosa Hilo!? Ina maana anaathiri Tz kuliko Naija!?
 
Toto la kiumeee una balaa na laaaana, laana kama zote [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sio laana, ni mikosi, gundu, nuksi, giza zote hapa unapataaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ushindwee wee tyuu.
 
Back
Top Bottom