Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Semaa wee uduguu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wawaache mtambe mnavyoweza, hili jukwaa huru..!! Huko majumbani kesi nyingi wanawaomba mambo meusi wake zao, halafu huku wanajifanya wakereketwa mxiewwww.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna jamaa maeneo ya mabibo hostels kipindi icho najichanganya sana kitaa alikua anafungwa jela kwa makosa madogo dogo(petty issues) kama wizi, kupiga watu and the likes.... Anafungwa kama miezi 6 ivi, baada ya kama miez minne anarudi kitaa Cha kushangaza haipiti wiki anafanya tukio tena anarudi jela, ikawa ndo trend yake


Kuja kuuliza naambiwa huyo ni mke wa mtu bwana ake yupo jela kifungo kirefu kama io mama watoto akiachiwa anarudi mtaani anapambana afanye tukio arudi kwa mme wakeπŸ˜ƒ
 
Vp mshamtoa?
 
Mkuu unaonekana unapenda sana ugay ugay,uko salama kweli?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnatakaje kuyamaliza bila idhini yangu alaaah
Haya mi sina neno nasubiri aje coca hapa tuyamalize πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana usije ukawasha moto bure hapa
 
Mkuu unaonekana unapenda sana ugay ugay,uko salama kweli?
Mimi natetea Haki yake ya kuishi maisha yake bila ya kubugudhiwa na mtu. Nashangaa Wabongo kushupalia ishu yake ya Uchoko wakati hao waliomfunga hawajamfunga kwa kosa Hilo. Wanamuhukimu vipi mtu ambaye mamlaka za kwao hazijamuhukumu kwa kosa Hilo!? Ina maana anaathiri Tz kuliko Naija!?
 
Toto la kiumeee una balaa na laaaana, laana kama zote [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sio laana, ni mikosi, gundu, nuksi, giza zote hapa unapataaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ushindwee wee tyuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…