Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

🀣🀣🀣🀣 Yanaishaje wakati ndio kwanza umekubali.!! Watu mna siri, shangazi shangazi kumbe watu hoya hoya mnajimegea? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Plz yaishe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha utafanya nikimbie jf sasa kwa huu uwongo..
 
Plz yaishe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha utafanya nikimbie jf sasa kwa huu uwongo..
Ukimbie uende wapi? Ww tulia usukume tandam lile πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Ukimbie uende wapi? Ww tulia usukume tandam lile πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€Έβ€β™€οΈ
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί Hapana bana...
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Tuongelee zabibu now
 
Hapo sawa nitakaribia dogo, km dom nitumie kidumu cha lita 5 😜
Nakuandalia sis yan... Wee usokhofu wala nini.....
Ngoja nisogeze hii sem.. kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί Hapana bana...
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Tuongelee zabibu now
Kwahiyo umeleta story za zabibu ili kunipoteza maboya issue ya tandam lako?? 🀣🀣🀣🀣
Hiyo topic haiishi leo wala kesho yani mpk nikichoka mimi olalaaaaaaa.!! πŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Nakuandalia sis yan... Wee usokhofu wala nini.....
Ngoja nisogeze hii sem.. kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 Na nilivyo dada wa mjini code zote nazijua hapa uchoke wewe…..hapo nimekupata usogeze semi trailer a.k.a tandam au sio?? 🀣🀣🀣
We msogeze antiyo hamna kwere
 
Kwahiyo umeleta story za zabibu ili kunipoteza maboya issue ya tandam lako?? 🀣🀣🀣🀣
Hiyo topic haiishi leo wala kesho yani mpk nikichoka mimi olalaaaaaaa.!! πŸ€Έβ€β™€οΈ
Nakuomba sis plz plz plz
Yaani nakuomba mie
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Plz sis wa me hakuna mwingine jf hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Na nilivyo dada wa mjini code zote nazijua hapa uchoke wewe…..hapo nimekupata usogeze semi trailer a.k.a tandam au sio?? 🀣🀣🀣
We msogeze antiyo hamna kwere
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uuuiiuuuuuhh weeeeh acha banaaaa...

Dada jau wewe. Sina dada hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakuomba sis plz plz plz
Yaani nakuomba mie
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Plz sis wa me hakuna mwingine jf hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 bado hujasema mbona!! Piga magoti na uruke kichura chura nikusamehe.!!
Kwanza mbona kawaida unamuogopa nani?? Kusukuma tandam la antiyo ndio ujilize we dogo vipi?!! 🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uuuiiuuuuuhh weeeeh acha banaaaa...

Dada jau wewe. Sina dada hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaleta code unajua utanipoteza??? 🀣🀣🀣
Yani kwa codes hapa utachemka wewe.!! Wambea wote tunatambaa kwa code kwa taarifa yako! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣 bado hujasema mbona!! Piga magoti na uruke kichura chura nikusamehe.!!
Kwanza mbona kawaida unamuogopa nani?? Kusukuma tandam la antiyo ndio ujilize we dogo vipi?!! 🀣🀣🀣🀣
Nop sis nakuomba sana...
Hiyo kichura naruka hata sasa..
Yaishe tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™

Hivi sis utafurahi na humu tukala ban et.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaleta code unajua utanipoteza??? 🀣🀣🀣
Yani kwa codes hapa utachemka wewe.!! Wambea wote tunatambaa kwa code kwa taarifa yako! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya sis.... Yaisheeee kwanza haipendezi kuwa mgomvi wakati ndo kwanza upo kwa ndoa changa..

We huogopi kujichanganya huko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nop sis nakuomba sana...
Hiyo kichura naruka hata sasa..
Yaishe tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™

Hivi sis utafurahi na humu tukala ban et.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa tupewe ban kwan tumegombana.?? Kuna mtu katajwa na CAG Labda? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

Acha uoga dogo we vipi?? Wa mbwinde nini??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya sis.... Yaisheeee kwanza haipendezi kuwa mgomvi wakati ndo kwanza upo kwa ndoa changa..

We huogopi kujichanganya huko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndoa mimi?? Mimi nitajioa mwenyewe 🀣🀣🀣
Sipendi kero na kiumbe chenye mkia kianze kunipelekesha km nna figo yake.!! πŸ˜‚
 
Sasa tupewe ban kwan tumegombana.?? Kuna mtu katajwa na CAG Labda? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

Acha uoga dogo we vipi?? Wa mbwinde nini??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya yaishe sasa unajua hizi topic akiona coca na mwenzake bichwa hapa jua kabisa atutamaliza leo..

Tufanye hakijatokea kitu... Tuendelee na ishu zingine sis πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alafu nikitoka huku dom nina mzigo wako kama ulivyosema wee kikubwa ni weka gundi kwa mdomo yaishe
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ndoa mimi?? Mimi nitajioa mwenyewe 🀣🀣🀣
Sipendi kero na kiumbe chenye mkia kianze kunipelekesha km nna figo yake.!! πŸ˜‚
Weeeeeeeh kwanza subiri acha zako wee upo kwa ndoa alafu unakua mkorofi..
Ujue wapo wachache sasa hvi eeeeh we jikute tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuacha siwezi coz umbea ndio kitu nakipenda duniani.! Yani mimi kufatilia maisha ya watu napenda balaa, hapo labda useme nipumzike kwa muda ila kuacha nitakudanganya 🀣🀣🀣

Hiyo zawadi itume kwenye kimbinyiko au baraka nitaipokea Magufuli 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…