Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plz yaishe πππππ€£π€£π€£π€£ Yanaishaje wakati ndio kwanza umekubali.!! Watu mna siri, shangazi shangazi kumbe watu hoya hoya mnajimegea? πππ
Ukimbie uende wapi? Ww tulia usukume tandam lile π€£π€£π€£π€£π€£π€ΈββοΈPlz yaishe ππππ
Acha utafanya nikimbie jf sasa kwa huu uwongo..
Hadi divai zipo za kushato sis..Mi napenda zikiwa kwenye divai π
π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί Hapana bana...Ukimbie uende wapi? Ww tulia usukume tandam lile π€£π€£π€£π€£π€£π€ΈββοΈ
Hapo sawa nitakaribia dogo, km dom nitumie kidumu cha lita 5 πHadi divai zipo za kushato sis..
Yaani ni wewe tuu πππ
Nakuandalia sis yan... Wee usokhofu wala nini.....Hapo sawa nitakaribia dogo, km dom nitumie kidumu cha lita 5 π
Kwahiyo umeleta story za zabibu ili kunipoteza maboya issue ya tandam lako?? π€£π€£π€£π€£π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί Hapana bana...
ππππππ
Tuongelee zabibu now
π€£π€£π€£π€£π€£ Na nilivyo dada wa mjini code zote nazijua hapa uchoke weweβ¦..hapo nimekupata usogeze semi trailer a.k.a tandam au sio?? π€£π€£π€£Nakuandalia sis yan... Wee usokhofu wala nini.....
Ngoja nisogeze hii sem.. kwanza ππππ
Nakuomba sis plz plz plzKwahiyo umeleta story za zabibu ili kunipoteza maboya issue ya tandam lako?? π€£π€£π€£π€£
Hiyo topic haiishi leo wala kesho yani mpk nikichoka mimi olalaaaaaaa.!! π€ΈββοΈ
πππππππππππππππππππ Uuuiiuuuuuhh weeeeh acha banaaaa...π€£π€£π€£π€£π€£ Na nilivyo dada wa mjini code zote nazijua hapa uchoke weweβ¦..hapo nimekupata usogeze semi trailer a.k.a tandam au sio?? π€£π€£π€£
We msogeze antiyo hamna kwere
π€£π€£π€£π€£ bado hujasema mbona!! Piga magoti na uruke kichura chura nikusamehe.!!Nakuomba sis plz plz plz
Yaani nakuomba mie
ππππππ
Plz sis wa me hakuna mwingine jf hapa πππ
Unaleta code unajua utanipoteza??? π€£π€£π€£πππππππππππππππππππ Uuuiiuuuuuhh weeeeh acha banaaaa...
Dada jau wewe. Sina dada hapa πππ
Nop sis nakuomba sana...π€£π€£π€£π€£ bado hujasema mbona!! Piga magoti na uruke kichura chura nikusamehe.!!
Kwanza mbona kawaida unamuogopa nani?? Kusukuma tandam la antiyo ndio ujilize we dogo vipi?!! π€£π€£π€£π€£
Haya sis.... Yaisheeee kwanza haipendezi kuwa mgomvi wakati ndo kwanza upo kwa ndoa changa..Unaleta code unajua utanipoteza??? π€£π€£π€£
Yani kwa codes hapa utachemka wewe.!! Wambea wote tunatambaa kwa code kwa taarifa yako! ππππ
Sasa tupewe ban kwan tumegombana.?? Kuna mtu katajwa na CAG Labda? π€£π€£π€£πNop sis nakuomba sana...
Hiyo kichura naruka hata sasa..
Yaishe tuu ππππππ
Hivi sis utafurahi na humu tukala ban et.πππ
Ndoa mimi?? Mimi nitajioa mwenyewe π€£π€£π€£Haya sis.... Yaisheeee kwanza haipendezi kuwa mgomvi wakati ndo kwanza upo kwa ndoa changa..
We huogopi kujichanganya huko ππππππ
Haya yaishe sasa unajua hizi topic akiona coca na mwenzake bichwa hapa jua kabisa atutamaliza leo..Sasa tupewe ban kwan tumegombana.?? Kuna mtu katajwa na CAG Labda? π€£π€£π€£π
Acha uoga dogo we vipi?? Wa mbwinde nini??πππ
Weeeeeeeh kwanza subiri acha zako wee upo kwa ndoa alafu unakua mkorofi..Ndoa mimi?? Mimi nitajioa mwenyewe π€£π€£π€£
Sipendi kero na kiumbe chenye mkia kianze kunipelekesha km nna figo yake.!! π
Kuacha siwezi coz umbea ndio kitu nakipenda duniani.! Yani mimi kufatilia maisha ya watu napenda balaa, hapo labda useme nipumzike kwa muda ila kuacha nitakudanganya π€£π€£π€£Haya yaishe sasa unajua hizi topic akiona coca na mwenzake bichwa hapa jua kabisa atutamaliza leo..
Tufanye hakijatokea kitu... Tuendelee na ishu zingine sis ππππ
Alafu nikitoka huku dom nina mzigo wako kama ulivyosema wee kikubwa ni weka gundi kwa mdomo yaishe
ππππππππ