Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Kuna makosa makubwa zaidi ya huyu na watu waligewa option ya faini.

Kwa Idris nafikiri hukumu yake imezingirwa na ukweli kua Nigeria wana uislamu mkubwa pia jamii yao haikubaliani kwa uwazi na Idris au yoyote anayetaka kubadili jinsia au kua homosexual.

Hukumu imekua influenced na chuki na imani
Kumbuka aliyetoa hukumu ni mkristo
 
Kuna makosa makubwa zaidi ya huyu na watu waligewa option ya faini.

Kwa Idris nafikiri hukumu yake imezingirwa na ukweli kua Nigeria wana uislamu mkubwa pia jamii yao haikubaliani kwa uwazi na Idris au yoyote anayetaka kubadili jinsia au kua homosexual.

Hukumu imekua influenced na chuki na imani
Na huo ndio ukweli. Hakimu/ jaji anaendeshwa na udini mpaka anakiuka miiko ya taaluma yake. Ni ukatili wa kijinsia huu.
 
Alivyo badilisha jinsia dondolo waliikata au ipo? Kama ipo ndo maana kachagua kwenda jela upande wa kiume.
Nasikia haipo, ila wame mtafutia sababu ili wambinye.
Maana Nigeria Wana pewa misaada, so kumbinya kirahisi ni kuji tafutia shida
 
Back
Top Bottom