Hahahaa.... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumeshawasiliana na wanasheria wa Nigeria wanaenda kumkatia rufaa ili atoke.
Huu ndio uzuri wa utawala wa sheria. Hakuna ujanja ujanja kama ule wa Tanganyika wa kufungana jela kwa kutumia sheria za uchochoroni.
Kila kitu kinaenda sawia, atatoka nje kirahisi sana kwa sababu hana hatia yoyote.
Jaji alijaa mihemko ya kidini akafikiri yuko kwenye baraza la kikristo akajikuta anatoa hukumu duni ya kibiblia badala ya kisheria (a controversial biblical judgement).
Tumeshaandaa rufaa mwaisa, hili swala ni jepesi mno.
Cc
cocastic