Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Mwambie simuogopi na mabakuli yake ya kichinaa [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] aniwacheeee na coca wangu tujidai kwenye liuzi lake la kichochezi [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
C ndio wizoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo ktk uzi wa Role model wetuu, tunajidaiiii tutakavyooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo utaharibu ndoa za watu ujuee?? Huko mtaani kwako wenye waume zao wawe makini, utawakwapua woteee.
🤣🤣🤣🤣 wizo kaachika?? Kaka akipita hapa atapigwa mwambie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo utaharibu ndoa za watu ujuee?? Huko mtaani kwako wenye waume zao wawe makini, utawakwapua woteee.
😹😹😹😹😹 tatizo waume zao watamu jamanii, halafu ma TALL DARK and HANDSOME akiiii siwaachi

We kuweza? 😹😹😹😹😹😹😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF kuna Mabwanaa? Aachike mara ngapiii?
Yuko na libaba wake wa huko mtaani kwao. Uwiiiiih
😂😂😂😂 Nacheka km chizi
Mbavu zinaniuma!! Nyie leo mmelewa??
Wizo ana libaba gani la huko mtaani tena mana naye libaba hawaogopani?? 🤣🤣🤣
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] tatizo waume zao watamu jamanii, halafu ma TALL DARK and HANDSOME akiiii siwaachi

We kuweza? [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji23][emoji23]
Wizoo nimecheka had kutaka kuangusha cm, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee huogopii kurogwaa? Uwiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie hapa tumetoka kustua kimokoo, yeye anacheza PS, mie ndo naswapaaaa hapa sebuleni kwa Mello.
Kampe cha pili tayari ushaswampa 😂😂😂
 
Hapana uko walikofika sifikagi nawaachia wasasambue 😂😂😂😂
Samia akitukuta humu na jeshi lake tumekwisha 😂😂😂😂😂 Ukonga moja kwa moja bila barua ya hakimu 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom