Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Usiku mwema! Nimeangalia mechi mpk imeisha na tumeshinda basi wacha niingie kwenye maombi. Ulale ukue dogo
Nikue mara ngapi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi namsubiri coca hapa anipe habari za town...
Najua bado ajalala now ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ooooooooh kusema hawapo wanaokujua au...?

Sis nature haipo hivo bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kujuana hakuna shida mbona.
Alafu hakuna kitu kizuri kama hiko aiseee .
Ni vile tu usikutane na mtu wa hovyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna anayenijua ni utani tunataniana humu.!! Hivi nianze kujuana na mtu humu nataka nini??
Mara nyingi kujuana ni kuchorana tyuuu!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikue mara ngapi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi namsubiri coca hapa anipe habari za town...
Najua bado ajalala now ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We coca kalala leo kachoka na kipigo cha 2-1 hana hata hamu 🀣🀣🀣🀣
Na bado huku kwa Arsenal nako kachezea 2 haamki leo labda kesho
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kwa kweli ujanja wote ule kumbe.............
Oky ngoja tulale tukue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna anayenijua ni utani tunataniana humu.!! Hivi nianze kujuana na mtu humu nataka nini??
Mara nyingi kujuana ni kuchorana tyuuu!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sis mi ntakujua tuu do or die....
Ngoja nikuje huko dasalamu..
Hata matangazo tabandika wallah tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hautokuja kunijua mpk unakufa 🀣🀣🀣🀣
Mimi sipendagi kujuana nje ya JF na member yoyote yule.!!
Jana mpaka mvua imeninyeshea mwenge ila bila bila

Soli zinaisha ujue
 
Hakuna anayenijua ni utani tunataniana humu.!! Hivi nianze kujuana na mtu humu nataka nini??
Mara nyingi kujuana ni kuchorana tyuuu!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ndiomana pm zangu huzifanyii kazi

Mwaka sasa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sis mi ntakujua tuu do or die....
Ngoja nikuje huko dasalamu..
Hata matangazo tabandika wallah tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwezi utajichosha bora utulie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom