Sasa hivi hawa vijana wadogo kabisa hawaogopi kitu wenyewe wanafanya huu ujinga wanaona sawa tu sijui kwasababu ya utandawazi na hata ukisema uwashauri hawa kuelewi zaidi utaambulia matusi mazito sasa ni bora kuwaangalia tu Jana nimepita kwenye page mojo huko IG nimekutana na picha ya kijana Mdogo wa kiume kaanza kupiga picha akiwa mtupu na kuzipost watu wazione kwa kweli inashangaza sana
huyo kijana Mdogo amepiga picha hivyo na kuipost na hata ukienda kwenye page yake unakutana na picha zenye mapozi tata