Shoga yangu alitegesha chupi yake chumbani ili nimuache mume wangu

Si bora hata chupi kuna wengine wanategesha mbu.su.su kbs.
 
Hizi habari za mwanamke kumfumania mumewe au kuskia tu kwa watu halafu huyo anakusanya virago anasepa Huwa zinanishangaza sanaa, halafu baada ya hapo huyo huyo alojifanya kuondoka anaomba arudi tena kwa huyo huyo mwanaume.

Kama huna nguvu ya kumwacha ni Bora usiondoke Endelea kubaki hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…